Recent content by Makao Makuu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ubinafsishaji kiwanda cha UFI: Nani alipiga dili?

    Mambo haya yanachanganya. Tunaambiwa UFI iliingia ubia - na nani na kwa makubaliano gani? Zoezi la ubinafsishaji kweli lilikuwa na manufaa? Rais alikuwa Ben Mkapa, Waziri Mkuu alikuwa Fred Sumaye, Waziri wa Fedha alikuwa Simon Mbilinyi, baadaye Mramba na Daniel Yona, Katibu Mkuu Hazina alikuwa...
  2. M

  3. M

    JamiiForums Tanzania REVEALED: Hawa ndio waliohusika na uuzwaji/ununuaji wa Mtambo wa Uhuru

    Mabadiliko ni fikra! Tubadili fikra zetu binafsi kwanza badala ya kulia lia. Hata angekuja malaika kutawala dunia, kamwe hawezi kutuletea chakula nyumbani. Lazima watu tufanye kazi badala ya kukaa vijiweni kulaumu hiki na kile. Serikali inaweka misingi na mazingira ya wananchi kujitafutia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ubinafsishaji kiwanda cha UFI: Nani alipiga dili?

    Ndugu zangu, Kiwanda cha Ubungo Farm Industries (UFI) ni miongoni mwa viwanda vya umma ambavyo ‘vilipitiwa’ na zoezi la ubinafsishaji. Lakini mchakato wote ulilenga katika kukiboresha kiwanda hicho ili kizalishe zana bora za kilimo – kwa uwezo wetu Watanzania, ili kuhakikisha wakulima wanapata...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Sasa nitafia kwenye siasa!

    Mtangazaji wa zamani wa runinga ya Channel Ten na radio za Magic FM na Clouds FC, Cyprian Musiba (38), amesema kwamba sasa maisha yake amejikita kwenye siasa na yuko tayari kufia huko. Mwanahabari huyo ambaye mbali ya kufanya kazi kwenye runinga na radio lakini pia amepata kufanya kazi katika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Benno Ndulu: Hakuna mdororo wa uchumi. Uchumi wa Tanzania unaendelea kukua...

    Ni kweli kabisa mkuu, kujua uchumi siyo kujua somo la uchumi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wote wanakwenda Dodoma, hakuna anayebaki Dar

    Agizo la Rais Magufuli la serikali kuhamia Dodoma linaonekana kupata msukumo mkubwa hata kwa wananchi. Wengi wanaamini serikali ikihamia Dodoma kunaweza kupatikana msukumo wa maendeleo kwa maeneo mengi ya Tanzania hasa mikoa ambayo iko mbali na Dar es Salaam kama Rukwa, Ruvuma, Mbeya, Kigoma...
Back
Top Bottom