Recent content by Makani_evarist

  1. Makani_evarist

    JamiiForums Tanzania RAS ni nani?

    Ras ni region administration Secretary
  2. Makani_evarist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Sawa basi usishabikie siasa kabisa mkuu maana nlikuona umeunga mkono hoja ya kwamba Zitto hawezi kutoka Kigoma
  3. Makani_evarist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Mwaka huu ni Mwaka wa kutoa upinzani Kigoma
  4. Makani_evarist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Mtaelewa tu tunavyomanisha sisi watu wa kigoma hatuna urafiki wa kidumu na Yeyote Zamani Zitto tulimwamini sana ila kwa sasa ashakengeuka na kuwa wakala wa Mabeberu
  5. Makani_evarist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Mnasema Zitto ni ngumu kutoka leo watu wake wa kigoma wamefanya haya hapa
  6. Makani_evarist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Zitto kwa heri na anza kutafta kazi nyingine ya kufanya
  7. Makani_evarist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Angalia jinsi watu wa kigoma tulivyokubaliana kumpa Magufuli kura
  8. Makani_evarist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Hakika nmekuona unaongozwa na akili za zamani wewe. 2015 yenyewe Magufuli kaongoza sembuse na Mwaka huu??? Are you normal mentally?
Back
Top Bottom