Recent content by Makamuzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Why Lowassa is not Tanzania's Buhari

    well addressed document!lowasa is.a loser n he cant be the president of URT
  2. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA waongea na Wanahabari, Walalamikia Tume ya Uchaguzi na Rais Kikwete

    Dalili ya kushindwa vibaya hiyo!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mhe Edward Lowassa amemaliza ziara ya Mkoa wa Mara Leo hii!

    usiwasemee wajita.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Face 2 Face With Freeman Mbowe & James Mbatia!, Wamesema Nini Kuhusu Ushindi?

    huyu jamaa sometimes huwa anajitoa ufahamu kisa lowasa!do you think lowasa will leapfrog the competition?wengine tumeamua kukaa kimya maana rais wa nchi tumeshamfahamu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mashujaa Moshi umetapika, Dr. Magufuli kuhutubia

    hili jukwaa limeharibiwa na vitoto vya kata...si tena la great thinkers!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni Nini Hatma ya Ndoa ya Gwajima + Lowassa na UKAWA kwa Taifa Letu?

    zamani nlikuwa nakupinga sana...ila.baada ya chadema kutuletea hiki kirusi nami nipo upande wa mabadiliko ya kweli siyo haya ya kubambikiwa!magufuli atosha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wabunge washangiliaji wa Lowassa na wenyeviti watiifu kwake?

    ukweli ni kuwa watanzania.ni wanafiki...na mashabiki wa ukawa wanajifariji kuwa wanaccm wengi watampigia kura lowasa...huko ni kujifariji n what i see baada ya tarehe 25 chadema itajuta sana na mimi ntawaadhibu kwa upuuzi walioufanya wa kumchukua mtu aliyekubalika ccm kwa sababu ya hela...na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ndani ya Jimbo la Karatu

    Sikutegemea kuiunga ccm mkono....ila kwa yaliyotokea ukawa ni bora magufuli ashinde tu kwenye urais
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge wa CCM Mtwara Mjini amewanunua viongozi wa vyama vingine

    Sasa km mlikubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia mnalalamika nini.....ukawa sasa hv limekuwa genge la.watu fulani kufikia ndoto zao za urais。。。na vichwa maji waliowengi wanafata mkumbo...tunaojielewa tumewaachia ukawa yenu feki
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya kampeni ya UKAWA TAMBWE HIZA sawa lakini sio sawa

    mmeshikiwa akili na gia ya mabadiliko...mtageuzwa geuzwa sana...!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa CHADEMA asilia tuu...

    Tangu chadema wamsimamishe lowasa kugombea urais nimekata tamaa kabisa !am fed up n what i will do is just to vote for a right candidate!tunadanganywa kuhusu mfumo...what a piety!
  12. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Uongozi wa CHADEMA Kilosa (M/kiti, Katibu), wahamia CCM muda huu

    Tangu hao chadema wamweke huyo fisadi lowasa...kura yangu hawataipata ni bora niipeleke kwa magufuli...wameniudhi sana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana: Wananchi wako tayari kuing'oa CCM, Baadhi ya viongozi hawataki

    Dr slaa hawezi kununulika...you are always my hero
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uongo, Upotoshaji dhidi ya Dr.Slaa na Mnyika - Wafuatao wapuuzwe...

    And for really msidhan slaa kuwa hana wafuasi ..subirin muone what gonna happen...it's better to be a non partisan rather than supporting you monsters
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uongo, Upotoshaji dhidi ya Dr.Slaa na Mnyika - Wafuatao wapuuzwe...

    Nyie mmeshatuzingua.....nitamfata dk slaa popote aendapo..haiwezekani mtei na mbowe ndo waongoze chama....nimeanza kuamini maneno ya Zito.....mmeniboa sana....
Back
Top Bottom