Recent content by makamaka

  1. M

    Wanyama pori wametushinda?

    Nashauri Serikali kupitia Bunge kuita Bunge la dharula kujadili suala la tembo na Simba kuvamia makazi ya watu. Hakuna siku nafuatilia habari nikamiss Habari hii. Kanda zetu zimeshindwa, wanyama wamezaliana wengi Sana kwa kipindi cha miaka Saba. Sasa Serikali itafute suluhusho la kudumu.
  2. M

    Uonevu toka Singita Grumeti Reserve

    BARUA YA WAZI KWA MHE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUHUSU WATANZANIA KUFUNGIWA LOCKDOWN NDANI YA TAIFA LAO KATIKA PORI LA AKIBA LA IKORONGO CHINI YA MWEKEZAJI SINGITA GRUMETI RESERVE Awali ya yote Mhe Rais tunakupa pole kutokana na majukumu mazito uliyo nayo na hongera sana kwa...
  3. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco kunani na huu mkato wa umeme kila siku,kumekuwa na katizo la umeme siku hizo kila siku,na mnaweza kukata hata Mara Tano kwa siku moja,hasa maeneo ya kigamboni, toangoma,Tunaomba mtujuze tanesco Kuna shida gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Naibu waziri kilimo watesa familia zetu

    Mheshimiwa Bashe, Mbona watesa familia za watanzania wenzako wanyonge,ulipokuwa kiongozi wetu wa New habari (2006) ltd ulilazimisha tupewe barua za kupunguzwa kazi bila idhini yetu na kutuahidi kutulipa fedha zetu za retenchment na malimbikizo ya mishahara yetu kwa wiki mbili. Ilikuwa mwezi...
  5. M

    Mh. Bashe watesa familia zetu

    Mheshimiwa Bashe, Mbona watesa familia za watanzania wenzako wanyonge? Ulipokuwa kiongozi wetu wa New Habari (2006) Limited ulilazimisha tupewe barua za kupunguzwa kazi bila idhini yetu na kutuahidi kutulipa fedha zetu za retrenchment na malimbikizo ya mishahara yetu kwa wiki mbili. Ilikuwa...
  6. M

    Je, unafahamu jinsi wanafunzi wa Yesu walivyokufa?

    Asantenkwa kwa mafundisho mazuri,napenda unapotaja miaka ya.kufa hao nitume,,naomba pia nisaidie kujua historia ya kanisa mara baada ya kufa Petro muunganiko uliendeleaje badae mpaka kufikia hapa tulipo kwa upande wa mapapa.
  7. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Asanteni Tanesco,nilileta ombi kwenu la kuletewa nguzo kama tulivyolipia naona limetekelezwa.kazi njema.
  8. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu Zanguni Tanesco, Mbona inachukua muda mrefu sana kuunganisha umeme,Tumeomba umeme mnamo tarhe 16/06/2019 na tuliahahidiwa siku 60 mpaka kuja kupata umeme.Leo ni zaidi ya siku sitini hakuna lolote linaloendelea.Ref no ni : 9910311252200 na no ya simu ni 0713549959.
  9. M

    Barabara ya Ferry Kigamboni mpaka Kongowe

    Wadau sijui ni Tanroad ama Tarura,tunaomba mtujuze kunani pale kwa dole,kipande kifupi hakizidi hata mita 130 kinachukua Takribani miezi mitatu kutengenezwa huku barabara imefungwa. Mnatuchepusha kwenye nyumba za watu mpaka kuta zao zinakaribia kudondoka. Hebu liangalieni suala hili.
  10. M

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    Bashe hongera kwa nafasi hiyo.nakushauri ulipe kwanza staff wako uliowapunguza kazi bila mafai yao.wanakudai mishahara mingi ungekuwa busara uende kula kiapo ukiwa msafi.
  11. M

    Mahakama yapendekeza makosa yote yawe na dhamana ili kupunguza maongamano wa Mahabusu magerezani

    Kiukweli hii Sheria ya utakatishaji pesa imewaumiza wengi,unashangaa watu wenye Sina moja ya makosa.mwinhine anapangiwa wizi wa kuaminika wengine utakatishaji.Tunaomba vyombo husika viipitie kwa kina sgeria hii
  12. M

    Bashe lipa wafanyakazi wako

    Mbona mmetoka kwa mada kabisa...
  13. M

    Bashe lipa wafanyakazi wako

    Habari Wana jukwaa,Takribani miezi miwili imepita toka kampuni ya new habari ltd ilipowaondoa wafanyakazi wake kwa kuwapunguza kazi (retrenchment). Wakaahidiwa kuwa pesa zao za mishahara ya nyuma na stahiki za kupunguzwa kazi watalipwa ndani ya siku kumi na tano kadri ya barua walizopewa.Sasa ni...
  14. M

    R.A kuchangia Yanga,wakati wafanyakazi wake Hoi

    Inshu ni kuwa amewatoa hao wafanyakazi kazini bila kuwalipa stahiki zao.Nani anapaswa kubeba jukumu hilo la kuwalipa.
Back
Top Bottom