Recent content by Makala01

  1. Makala01

    Tupo siku za mwisho YESU yupo karibu kurudi

    Wapendwa wangu katika Bwana niwakumbushe tu kwamba tupo katika nyakati za mwisho mnoo.. YESU yupo karibu kurudi mda wowote kuanzia sasa kwa iyo wew unaesoma ujumbe huu tengeneza njia zako na maisha yako Acha ulevi Acha uzinzi Acha umalaya na ukahaba Acha matusi Acha kila aina ya dhambi na uchafu...
  2. Makala01

    Jamani, nimeokota mapesa!

    Kweli MUNGU ni mwaminifu
  3. Makala01

    General Kagame is the beist of Africa

    Simjui aisee
  4. Makala01

    General Kagame is the beist of Africa

    Yeriko ndio nan
  5. Makala01

    KERO Responded Gharama za Kujifungua Hospital ta Taifa Muhimbili MNH (Mloganzila) ni kufuru

    Jina lenyew ushasema hospitali ya taifa si tunaendaga tu vituo vya afya ni bure tuu kama akijifungua kawaida kama utatozwa hela haizidi Upo sahihi mkuu
  6. Makala01

    KERO Responded Gharama za Kujifungua Hospital ta Taifa Muhimbili MNH (Mloganzila) ni kufuru

    Jina lenyew ushasema hospitali ya taifa si tunaendaga tu vituo vya afya ni bure tuu kama akijifungua kawaida kama utatozwa hela haizidi afu 50 tena kuwe kumetokea shida wakati wa kujifungua
  7. Makala01

    Mke amehama chumba tulichokuwa tukilala pamoja

    Hio ndio maana halisi ya mwanaume kuwa kichwa cha familia
  8. Makala01

    Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

    Miaka hiyo ambapo hapakuwa na spika kama zipo kwa nini tusitumie
  9. Makala01

    Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

    Kila makanisa yana utaratibu wake huwezi ukafika tu ukasema nifungieni vyombo nikahubiri au nataka mkutano So nikiwa na vya kwangu mda wowote nikijisikia nachukua vyombo vyangu naenda kupiga gombo na pia kama MUNGU amesema nami labda nikahubiri sehemu fulan sasa unaweza ukakuta huko hamna vyombo...
  10. Makala01

    Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

    Sawa mkuu tusamehe kwa kuaibisha mji kwa kuhubiri injili tusamehe sana ila hatuna namna inatubidi tu tuhubiri tuwakumbushe watu kuwa YESU yu karibu kurudi wajiandae
  11. Makala01

    Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

    Sawa karibu sasa tufanye kazi
  12. Makala01

    Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

    Sipo na katiba apa wala muongozo nipo mbali kidogo na siwez nikakuambia kwa kuhisi au kuanza kukukumbuka ila misingi ya imani ipo ningeweweza kukutajia Sijaikariri kwa sababu pia ni mingi kidogo
  13. Makala01

    Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

    Hapana hii ni kwa ajili ya MUNGU YESU yupo karibu kurudi na watu wengi hawajamrudia so tupaza sauti kuwaambia wamrudie MUNGU waache uovu wasijisahau so watakaosikia na kubadilika bas watakuwa wamepona ambao wtasikia ila wakakaidi siku ya mwisho wasije wakasema hawakuwahi kuhubiria wala kusikia...
  14. Makala01

    Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

    LAki 4 adi 5 kutegemeana na aina
Back
Top Bottom