Recent content by Makala josee

  1. Makala josee

    JamiiForums Tanzania Dini imeleta neema au ni mzigo kwa nchi za Afrika?

    Unajiita sexless?! si ajabu
  2. Makala josee

    JamiiForums Tanzania Dini imeleta neema au ni mzigo kwa nchi za Afrika?

    Ndio maana nikakwambia ni false dilemma au iite false dichotomy, huwezi kuwa limited kwa mifano kiasi hicho kisha ukatuwekea conclusion ya kidwanzi
  3. Makala josee

    JamiiForums Tanzania Dini imeleta neema au ni mzigo kwa nchi za Afrika?

    Angeweza vipi nae alikuwa jasusi wa kikatoliki? Yaani Vasco da gama na uzindiki wake alipobombard mji wa kilwa (mji ulikuwa umestaarabika zaidi duniani) hakuweza seuse Mwl julius mtoto wa chifu aliekana uzanaki na kuuvaa ugalatia? Hivi huko shuleni huwa mnaenda kusoma ujinga?
  4. Makala josee

    JamiiForums Tanzania Dini imeleta neema au ni mzigo kwa nchi za Afrika?

    Fallacy au tuite false dilemma, mzee jitahidi utafafanulie
  5. Makala josee

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba sijisikii comfortable pindi nikipanda ndege za Tanzania, najisika amani ninapopanda ndege za Kimataifa

    Paskali umesahau UKIMWI kwenye orodha yako, japo sina takwimu rasmi lakini huenda pia
  6. Makala josee

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Kimara mpaka Kibaha itazamwe upya, vifo vya watu kutokana na kugongwa na magari vimekuwa vingi sana

    Hapo ndio utaonekana umuhimu wa kuwepo njia mbadala yenye Road toll, ambayo huko nyuma NSSF kupitia Dau walipeleka mapendekezo serilikali ikakataa, High way huwa kuna speed zake na ni hatari sana wakati mwingine hata anaendesha mwendo wa Pole Pole anakuwa hatarini
  7. Makala josee

    JamiiForums Tanzania Kwanini baada ya Uhuru, Nyerere aliwatema waliopambana tangu mwanzo

    Soma Kitabu cha Padri Sivallon utaelewa
  8. Makala josee

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    Weka Akiba ya Maneno bwana mdogo, mgaa gaa na upwa hali wali mkavu
  9. Makala josee

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    Kijana usimpiganie Yesu, yuhai na atashinda dhidi ya madhwalim na wapumbavu(jihadhari usiwemo)
  10. Makala josee

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    Enyi walokole na masufi nawashauri mshirikiane kwenye sherehe za mazazi ya Yesu na Mohammed (Rehema na Amani ziwaendee), masufi wao mwezi huu watatu hufanya sherehe ninyi wagalatia hufanya Xmas mwezi wa 12 nawashauri mngeziunganisha mzifanya kwa pamoja kuondosha chuki baina yenu na kuimarisha...
  11. Makala josee

    JamiiForums Tanzania Natabiri Mabadiliko Madogo Baraza la mawaziri. Wawili kama sio mmoja kutemwa

    Atutabirie na mechi ya Simba vs Yanga Tarehe 23 October
  12. Makala josee

    JamiiForums Tanzania Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

    Mwizi huyu hana elimu, hana watu serilikalini wala si kada wa chama vipi atafufuka aje apenye awe fisadi namba moya kisha ahonge Takukuru, maafisa kwenye idara ya usalama na huko Kwa pilato? We unamuona si rahisi kiasi hicho
  13. Makala josee

    JamiiForums Tanzania Bila Mercy, huenda tusingekuwa na bilionea Mengi

    Eze kamilisha Kitabu cha dada mercy mapema huenda ikaponya
Back
Top Bottom