Recent content by makaburi

  1. M

    Naombeni kupata muongozo wa kufanya programming

    Kweli mkuu self taught beginner sio poa . unaweza kukata tamaa mapema
  2. M

    Naombeni kupata muongozo wa kufanya programming

    Mbona isiwe python ndo language ya kwanza mkuu. Ushauri wako
  3. M

    Naombeni kupata muongozo wa kufanya programming

    Habari wadau, Naombeni kupata muongozo wa kufanya coding from scratch/beginner. Niko na nia ya kuwa programmer na anzia wapi ndugu zangu, umri 35yrs self taught ama chuo. Nipeni maoni kuhusu forum gani na kama kuna gurus humu wanipe strategies.
  4. M

    Naombeni muongozo wa kuwa programmer

    Wadau ningeomba kupata muongozo wa kufanya coding from scratch . Umri 35yrs hii safari ya programming itawezekana kwa sababu nia ipo. Kama kuna forum yeyote naweza kupata instructions . Self taught ama chuo
Back
Top Bottom