Recent content by Makabi Lilepo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewakosea sana watu wa Kizimkazi; awaombe radhi

    Hujielewi wewe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Siku za interview Kuna wakati unalazimika Upige abracadabra kadhaa Ili kupumguza ushindani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwani Kikwete alikuwa anatumia mbinu gani kuiongoza nchi? Ajira zilikuwa kila mahala

    Aliyeitibua na kukoroga hiii nchi ni Magufuli kwa kuwaaminisha watu kuwa na roho mbaya dhidi ya aliyenacho. Imagine alifuta watu Zaidi ya 13,000 kazi bila replacement. Zaidi ya miaka minne graduates kama 50 elfu hawajaajiriwa.... Magufuli was a country's mess.... Tushukuru Samia alikuta nchi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana. Mungu akijalie utumishi mwema
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kaka niPM
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Fanya Follow up
  7. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mfumo wa BRELA ni mbovu, Mnachochea uhujumu uchumi

    BRELA watu Wazuri sana ndugu Yangu
  8. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mfumo wa BRELA ni mbovu, Mnachochea uhujumu uchumi

    Wa Watu wengi hawajui kuutumia mfumo wa Brela vyema. Halafu haya masuala yana utaalam wake shida ya watanzania hatupendi kutumia wataalam tunapenda sana kutotumia wataalam. Mtu kazu ngumu kama kuuza hisa anataka aifanye mwenyewe ikichukua miezi miwili analaum Brela
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwenye pombe utaweza
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika madereva wenye Class C

    Kanda ya Ziwa haswa Geita na Mwanza. Ila kama n mtaftaj hata kama n Malawi utaenda a
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika madereva wenye Class C

    Nitumie mesej wasap 0769488409
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika madereva wenye Class C

    Habari wanahitajika Madreva 5 Kwa ajili ya Mkataba wa mradi wa ujenzi. Madereva wanaohtajika ni walw wenye Class C. Madreva wenye Class E&G Kwa mawasiliano piga 0769488409 au tuma taarfa zako kwa email info@seanmark.co.tz
  13. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mfumo wa BRELA ni mbovu, Mnachochea uhujumu uchumi

    Je Huu mfumo wa mtandao wa BRELA wanatatua lini
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Utapata .. Omba Mungu na taasisi nyingi kwa sasa zinakomba bajeti mwaka wa bajet unaisha
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana Mlioitwa. Waoo hongera
Back
Top Bottom