Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake.
LAKINI mimi naona...

Uko sahihi, lakini ni nchi gani ya Kiafrika inaweza ku-manage hivyo wakati iko kwenye mzozo wa kivita? Kwa kifupi, ni sawa vita haiko sehemu yote, lakini inahitajika udhabiti kufanya ambacho Ukraine inafanya.
Ni kweli kabisa ndugu. Lakini the fact ni kwamba wana vita still wana-manage kufanya hivyo. Ni nchi gani ya Kiafrika inaweza kuwa kwenye mzozo na ku-manage hivyo wakati hata kwenye utulivu bado hatuwezi kufanya hivyo?
Ukraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika 😭😭😭
Ukraine iko vita na kwenye machafuko kwa miaka kadhaa sasa lakini wana mipango dhabiti, wana muda wa kulima ndani ya machafuko yao, na wana-manage kusafirisha mazao yao ya kilimo na kuilisha Afrika, na hasa...
Ka
Katiba mpya haiwezi kupatikana leo wala kesho. Katiba ya Sasa ni kichaka Chao sahihi kwa ajili ya mambo yao na kujilimbikiza mali ambazo wao na familia zao watakula hadi miaka 200 ijayo.
Jambo lingine, Katiba inaendana na utamaduni. Huwezi kukimbilia Katiba ukaacha utamaduni nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.