Recent content by Majuto Ngozi

  1. Majuto Ngozi

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA VISIGA MSUFINI MLANDIZI

    Bei 8ml
  2. Majuto Ngozi

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA VISIGA MSUFINI MLANDIZI

    Kiwanja kina ukubwa wa robo heka ni tambalale, kipo umbali wa mita 70 Kutoka morogoro road, kipo katika barabara kubwa ya mtaa, kwa maelezo zaidi piga namba 0717 000 990
  3. Majuto Ngozi

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Nakupongeza sana rais Magufuli kwa jitihada zako za wazi za kudhibiti matumizi ya hovyo ya fedha za serikali, mfano mzuri kuokoa mabilioni ya shilingi zilizopangwa kufujwa katika maazimisho ya uhuru, naomba sasa ukomeshe mbio za mwenge.
  4. Majuto Ngozi

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila Mkumbo: ACT - Wazalendo sio mazuzu wa kususia Bunge

    HAMY-D Kitila Mkumbo hajui Zitto ni mtu wa aina gani, yeye anachofanya Zitto Kitila hana nafasi ya kukosoa wala kupinga, Zitto hana tofauti na Mrema yaani ubunge wake hautakuwepo kama hakujipendekeza kwa ccm, ukitaka kujua Zitto sio mpinzani rejea katika mkakati wake wa kuhakikisha David...
  5. Majuto Ngozi

    JamiiForums Tanzania Mimi bado mgombea kata ya mtongani

    Salaaaam ndugu zangu wa Mtongani, Naandika haya ili kuwatoa wasiwasi kwakuwa nimepokea simu nyingi na pia nilikutana na watu wengi, Watu hao huwa wananiuliza kama kweli nimejitoa katika kinyang'anyilo cha Kugombea Udiwani katika Kata ya Mtongani? Najibu kuwa hakuna kitu kama hicho mimi...
  6. Majuto Ngozi

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    ccm haina tofauti na mtu mwenye gari bovu, badala ya kukarabati injini yeye ananunua side miror
  7. Majuto Ngozi

    JamiiForums Tanzania TBC FM na TBC Taifa zakosekana hewani Nje ya Nchi

    Haitawasaidia
  8. Majuto Ngozi

    JamiiForums Tanzania Makongoro: Lowassa sikumuona Vita ya Kagera, Labda alikuja baada ya vita kuburudisha wanajeshi

    makongoro maana yake ni vitu vichakavu, visvyo na thamani na visivyofaa
  9. Majuto Ngozi

    JamiiForums Tanzania ITV jamani, mmenunuliwa?

    Itv haijanunuliwa bali ni mbinu za kibiashara ili kuwabakiza watazamaji waweze kuangalia taarifa ya habari mpaka mwisho, kwakuwa Ukawa na Lowasa ndio habari ya mjini, kama taarifa ya ukawa ikianza kusomwa baada ya kumalizika watui wote hutimka
  10. Majuto Ngozi

    JamiiForums Tanzania Dr. Bana hafai kuwa mwalimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam

    Dr. Bana ni mtwana anayetumikia ccm, mpuuzeni
  11. Majuto Ngozi

    JamiiForums Tanzania UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

    Ukisika uvccm ina maana ya uzawa wa vigogo wa ccm, hala hawa makalio wanaota ndoto za mchana kweli, yaani mlishindwa kumnyoosha alipokuwa ccm mtaweza kumnyoosha akiwa ukawa?
  12. Majuto Ngozi

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Hapo sasa naamini habari za siku za nyuma ambazo ziliripot kuwa katika uchaguzi mkuu wa 2010 Lipumba alipita misikitini kumfanyia kampeni Kikwete na kuusaliti upinzani, sasa ameamua kujiweka wazi
  13. Majuto Ngozi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Mbona husomeki kamanda au na wewe ndio walewale
  14. Majuto Ngozi

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!

    Dk. Slaa ni mtu makini sana kuliko Kikwete na timu yake
Back
Top Bottom