Recent content by Major shatta

  1. M

    Naomba kujuzwa jinsi ya kuhama chuo

    Habari wanajamvi, Ninataka kuhama chuo nikimaliza certificate (nipo certificate Diploma nataka niende chuo kingine) course ya accountancy chuo cha government. Je, hii inawezekana na kama inawezekana taratibu zikoje? Natanguliza shukrani zangu🙏
  2. M

    How to buy your share in Dar es salaam stock exchange

    Tafadhali andika na kwa kiswahili na sisi wa kidumu na Fagio tuelewe.
Back
Top Bottom