hafu hawa jamaa wa cwt ni wanafiki sana wanapoona likizo imekaribia ndo wanaazisha migomo yao kama kweli mnania ya kusikilizwa malalamiko yenu kwanini migomo hiyo msifanye wakati wa mitihani ya taifa ila msijali 2015 mtatoka tu pamoja na ccm lenu hilo
wana jf
ndugu zangu mada hapo juu yajitosheleza hv cwt ina msaada gani ikiwa mpaka leo walimu wanalilia madeni yao ya miaka mingi
walimu hawapandi madaraja kwa wakati mfano kuna walimu wameanza kazi mwaka 2010 unakuta halmashauri nyingine wamepanda madaraja halmashauri nyingne hazijapanda...
Kwa habari zinazoendelea kwa sasa baadhi ya walimu wa wilaya za Kondoa,Kongwa Bahi na Dodoma manispaa wataitisha maandamano ya kuishinikiza serikali kutaka kujua hatima yao ya kupandishwa madaraja kwani wanaona serikali ipo kimya ingawa wilaya ya Mpwapwa wameshapandishwa madaraja tayari.
Walimu...
Kwanza kabsa nachukua fursa hii kukusalimu,
Mh pole sana kwa majukumu makubwa ulionayo ya kulijenga taifa hili ambalo lina rasilimali nyingi lakini tumeshindwa kuzitumia ili kulinasua taifa letu katika umasikini.
Pia mh nakupa pole kwa jinsi UKAWA wanavyokuumiza kichwa chako ila najua wewe...
ni kweli serikali sikivu imesikia madai ya madaktari ikajibu warudi kazini mara1 zaid ya hapo watakua wamejifukuza kazi
ikasikia madai ya walimu ikajibu haina hela ya kuwalipa walimu
ikasikia tena mgomo tazara ikajibu warudi kazini na wakatwe mshahara kwa kuisababishia serikali deni
ikasikia...
kwa jinsi digital ilivyoimalika huku tunapokwenda ktk nch hii kutakua na madanguro ya wanaume wakijiuza kwa wanawake na wanawake watatoa pesa nyingi kuwanunua wanaume
au unaonaje mtoa mada
naomba tulijadili hili kwakua mtoa mada umetumwa na magamba inamaana hujaona visima vyote vilivyochimbwa...
walimu tutakuwa tumevurugwa sasa hapa inahusiana nini cwt na kauli ya tungu lisu kama mukoba ndo ameandaa mpango huu ataandamana na mke wake na mwalimu atakae fanya hichi kitendo alaaniwe aishi kwenye nyumba ya nyasi maisha yake yote yaani wameshindwa kuandamana kwa ajili ya nyongeza 100% ya...
umasikini mkuu siunajua ccm wametufanya vibaya sasa sisi raia wa kawaida tunafanya lolote ili tuweze kuish ingawa kuna mkono wa ccm ndani ya hili tukio ndo maana tunaambiwa uchunguz ukamilike hata kama watu wamekubali makosa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.