Nilichoongea sijui kama umenielewa, hivyo viwanda vingi vilivyoko China, nani wamiliki? Viwanda karibu vyote vya computer kutoka China kama HP, Dell, IBM, Apple ni brand za kimarekani zinazofanyia uzalishaji China. Kwa taarifa yako wamarekani ndio wanaoongoza kwa uwekezaji China kupita nchi...
Trump alipoingia alisema anataka viwanda vyote vya Wa Marekani virudi ndani ya ardhi ya Marekani. Walioanza kupata wasiwasi ni China, kwa sababu asilimia kubwa ya viwanda vinavyoingiza pesa nyingi china ni viwanda vya kimarekani mfano, kampuni ya Apple inafanya designing na preliminary...
Angalia imepita miaka mingapi mpaka kufikia leo hii kuwa na google, youtube, hizi instagram, whatsapp na facebook... Mpaka waibuke hao uliowaita wengine... Itachukua muda gani? Dunia ya leo tulipofika ni pa "mwenye nguvu mpishe", mpaka ukipata nguvu na wewe wanyonge watakupisha, kinyume cha...
Baraza la usalama la Umoja wa mataifa enzi za Ban Ki Moon walipiga kura ya hapana kukataa vita vya Iraq lkn George Bush Jr aliamua kumpiga Sadam na akapigika. UN ina meno kwa nchi zetu zinazoendelea lkn sio kwa nchi kama USA. Kama huamini subiri uone kama kura yiliyopigwa UN juzi itabadili...
Mataifa yanayokataa ubabe yako mangapi? Robo tatu ya hayo mataifa yanayokataa yanaitegemea USA kwa misaada mbalimbali. Na kwenye hilo ni kuwa mengi yaliyopiga kura ya hapana ni kukataa tamko la USA kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel tu.
Airtel kihalali ni mali ya umma kwa sababu imezaliwa kutoka TTCL, vodacom ni kampuni binafsi hata wewe kama una pesa unaweza kununua hisa zako nyingi ukaimiliki.
Kuna mgawanyo wa majukumu unatakiwa utambue hilo. Kama haya ya misiba kwa kuwa hayana pongezi acha yafanywe na wawakilishi(waziri mkuu, makamu wa rais, wakuu wa mikoa nk. ) lakini yale ya 'tunampongeza' sana mh rais, hasa ya uzinduzi lazima yafanywe na mh rais kwa moyo mmoja.
Ndani ya hii miaka miwili umewahi kuisikia TLP ikitajwa mahali? TLP ni ya Mrema na Mrema ni rafiki wa CCM. Na usisahau pia aliomba rais asimsahau ampe kazi akapewa, kwa nini asionekane kwenye mkutano wa CCM?.... Labda cha kujiuliza bado TLP ina wanachama? Wanachama wanaamini nini, TLP kama...
Kumjua mzuri ni mpaka uone mbaya , yukoje, utamtambua mrefu baada ya kuona mfupi... Sifa nzuri au mbaya ni mpaka uone mbadala wake.... wamelinganisha A na B, wakagundua ni afadhali ya jana kuliko leo.
Kwani GSM asili yake ni Tanzania? Haiwezekani ikawa labda wana matawi ya biashara zao Zambia kama ilivyo hapa TZ? Na kwanini hukufiri kuwa labda hayo magari ni ya Zambia huku yalileta mzigo sasa yanarejea Zambia?....
Hata kazi zako zikiwa automated kiasi gani, bado nafasi ya binadamu iko pale pale. Tayari zipo accounting packages kibao zenye uwezo wa kufanya mengi ikiwemo hayo ya kuandaa hizo financial statements, na mengineyo, lakini uangalizi wa binadamu lazima uwepo. Systems zita automate na record...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.