Recent content by majige lucas

  1. majige lucas

    JamiiForums Tanzania Mwanza sehemu gani nitapata kazi

    Darasa lako ni zuri sana nimelipenda
  2. majige lucas

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Amos Makalla. DC wa Tunduru, Juma Homera ateuliwa kuwa RC mpya

    Naona ndo hii issue ya vitambulisho ndo imemuondoa
  3. majige lucas

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aondoka nchini kwenda Malawi kwa ziara ya siku Mbili, akitoka huko atapitia Mbeya kwa ziara ya siku 8

    Ingekuwa jambo jema kama angesafiri na wafanyabiashara maana nimesikia kutakuwa na ufunguzi Wa kiwanda cha tumbaku
  4. majige lucas

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapewa siku 45 kujibu, 'Kwanini matokeo ya urais hayapingwi mahakamani'

    Ni jambo la kheli kufuatilia upya mchakato wa katiba mpya ili kuendana na dunia ya sasa katika kutenda haki, mfano mzuri ni wenzetu wakenya matokeo yao kupingwa mahakamani
  5. majige lucas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Warefu (Tall Women)

    hongea sana kwa kujijua jinsi ulivyo
  6. majige lucas

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya bia ya Serengeti inafilisika au inahujumu Uchumi?

    Ni kutokana na kiwanda cha Serengeti dar kufanyiwa ukarabati mkubwa na kupelekea watu wa kanda ya mashariki kutegemea bia kutoka kiwanda cha mwanza ambacho sasa kinahudumia kanda ya ziwa na kanda ya mashariki
Back
Top Bottom