Recent content by Maji Taka

  1. M

    Natafuta rafiki wa kiume

    Tupe number ya simu
  2. M

    Zitto aandika barua CHADEMA kuomba msamaha

    Atuambie kwanza lengo lake lilikuwa nini kutaka kukisaliti chama? alikuwa anafadhiliwa na nani? na kwa malengo gani?
  3. M

    Makonda: Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania wala Mwenyekiti wa CCM

    Katika pita pita yangu hapa jiji la Arusha leo nimekuta Kampuni moja ya utalii imeajiri vijana wawili wa kichina wakufungua geti na kurekodi Kilometer za magari pindi yanapotoka na kuingia na pia kukagua watu wanaotoka na kuingia aidha kwa miguu au kwa magari.Hivi Tanzania tumekosa watu...
  4. M

    Hotuba ya Mh.Mbowe yazua Utata kwa Wakazi wa Geita tarehe 27/1/2014

    Hizo ni hofu tu na ni mawazo ya mchangiaji
Back
Top Bottom