Recent content by Majengo73

  1. Majengo73

    Nini kauli ya Mahakama kama Muhimili kwa kauli ya Rostam Aziz kuidhalilisha mahakama ya Kisutu?

    Hoja ni kwamba alichosema ni sahihi au sio sahihi..?
  2. Majengo73

    CAF wanasema simba haijawah fika nusu fainal ya CAF Championship-ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika

    Daaah...!!Unajua kusoma vizuri kweli...?Embu angalia maneno later known as CAF Champions league ili ujue ufahamu wako upo vipi.!!Nakumbuka maneno ya Manara kuhusu mashabiki Wa Dar Young Africans(Sio Yanga kama ambavyo wajinga wanavyoita)Wengi wao ni Hamnazo..!!
  3. Majengo73

    Ni Yanga tu: Haijawahi tokea timu kufikisha point 13

    Token.. Kama ambavyo Manara alivyowahi kusema kwamba Yanga ni hamnazo isipokuwa watu Wawili tu..!!
  4. Majengo73

    Yaani tumewahonga Mtibwa Sugar FC tushinde nyingi ili Mashabiki wajae Mechi na Horoya FC tupige Pesa?

    Daaah...!!Huku ni kupiga ramli.!!Maana hata ukiambiwa toa ushahidi hutoweza zaidi ya kukodoa macho kwa kuongea uongo..!!
  5. Majengo73

    Aliyesema mashabiki wa Simba ni mbumbumbu naomba ajengewe sanamu kubwa sana katikati ya Dar es Salaam

    Vipi kuhusu utopolo..? Maana hata nao walikuwa wanalia kwamba Nabi atimuliwe baada ya kufungwa na Al Hilal..!! Na kusema kwamba Hana mbinu au hili majuha wa Utopolo mnajisahaulisha..?
  6. Majengo73

    Aliyesema mashabiki wa Simba ni mbumbumbu naomba ajengewe sanamu kubwa sana katikati ya Dar es Salaam

    Ni kweli unaweza kuwa upo sahihi lakini ukumbuke kuwa hata Manara aliwahi kusema kwamba wenye akili Yanga ni Mzee Kikwete na Baba Yake wengine hamnazo..!!Hii kauli nilidhani ni masihara lakini nilithibitisha ni kweli pale alipoletwa yule mchuuzi kutoka Bujumbura aliekuwa akifanya biashara na...
  7. Majengo73

    Ukweli mchungu kwa timu Simba

    Ni kweli Vipers ni wabovu na ndo maana wakamtoa TP Mazembe ambayo ndo mbovu zaidi..!!Ramli yako umeipiga vizuri Sana ila kumbuka mpira sio kama kufunga vifungo vya shati kama unavyodhania wewe..!!Huyo Horoya alifanya nini Uganda wakati anacheza na Vipers.? Je alishinda.? Na kama hakushinda iwe...
  8. Majengo73

    Mawakili wa CHADEMA waghairi kuwahoji Halima Mdee na Wenzake 18

    Mbwembwe ni kawaida kwenye siasa za Bongo..!!Ndo maana Kuna wapumbavu waliaminishwa kwenye uchaguzi uliopita kwamba Arusha itakuwa kama California na wakapiga makofi na kushangilia..!!
  9. Majengo73

    Mawakili wa CHADEMA waghairi kuwahoji Halima Mdee na Wenzake 18

    Hahaha.. Ni heri ya kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu..!!Maana wapumbavu huamini kila jambo lakini wajinga kuna wakati ujinga huondoka na kupata maarifa..!!
  10. Majengo73

    Rage apewe PhD ya heshima

    Hahaha.. Baada ya wote kufungwa..? Nani mwenye points kwenye kundi lake..?
  11. Majengo73

    Rage apewe PhD ya heshima

    Ni kweli huenda alikuwa sahihi..!!Lakini kusema kwamba ni aibu ya mwaka huenda huo ndo umbumbu zaidi au kuwa mvivu wa kufikiri..!!Maana hata Liverpool alifungwa 5 na haikuwa aibu ya mwaka..!!
  12. Majengo73

    Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

    Ni ngumu Sana kuwaelimisha wapumbavu..!!Kwani wapumbavu huamini kila jambo lakini mwerevu huangalia palipo na ufahamu..!Na wajinga huchukua muda kuwaelimisha.!!Ujinga ni mzigo..!!Kwa kuwa kuandika ni haki yako upo sahihi..!!Lakini unaweza usiwe sahihi kwenye uhalisia.!!Ni mawazo yako tu...
  13. Majengo73

    Wale 'Team Mungu Mtu Chama' niambieni leo amecheza nini dhidi ya Coastal Union FC kwa Mkapa?

    Inawezekana ukawa upo Sawa kwa kuandika lakini usiwe sahihi kwa maana halisi ya Uungu Mtu..!!Hivi pasi iliyozaa goli kabla ya kumfikia Sakho ilitoka kwa Onyango au Nani.? Maana mi sijaangalia mpira..!!
  14. Majengo73

    Mapokezi ya Lissu yatakuwa yamemvunja moyo sana Lema

    Hahaha.. Kweli una saga sumu na kuinywa mwenyewe..!!
Back
Top Bottom