Mark ii gx 110, inakuwa na misi mara kwa mara ajabu ukifungua terminal ya betri kwa dak1 alafu ukarudisha hakuna miss ila ukitembea umbali kama 50km tena miss, nimejaribu kubadirsha coil, plug, oxygen sensor control box lakini bado kwenye mashine inaonyesha too rich and too leni
Wandugu, nimekutana na changamoto hiyo kwenye gari langu kwa mda wa zaidi ya miezi 4 sasa nimejaribu kuonana na mafundi tofauti dhidi ya watano kla mmoja alifanya alichozani ni tatzo, nimebadili coil, o² sensor , control box ,cylinder head, plug, pump bila mafanikio ila ikiwa na miss ukifungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.