Recent content by majani marefu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imuombe radhi DC aliyewacharaza walimu kwa utoro na ulevi!

    Yafatayo ni baazi ya mambo yanayo sababisha kufeli kwa wanafunzi; a) serikali kudhalilisha secta ya elimu kwa kuifanya kuwa ni secta ya watu waliofeli. b) waalimu kutopewa maslahi stahiki kama baadhi ya secta na kuwavunja moyo waalimu C)kutokuwa na mtaala mmoja wa elimu d)serikali kutoboresha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imuombe radhi DC aliyewacharaza walimu kwa utoro na ulevi!

    pole sana kijana inaonekana haujui hata unacho kizungumuza kwani kwa hakili yako ndogo unadhani kufeli kwa wanafunzi linatokana na kutofundisha kwa waalimu, hilo si kweli kwani kuna shule nyingi za binafsi na walimu wanafundisha sana lakini bado wanafunzi wamefeli. fanya tafiti na ujue chanzo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    ebana tumekusoma sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM yatengeneza Usugu kwa Watanzania

    Kinachohitajika ni umoja na mshikamano kwaajiri ya ukombozi wa kweli na wa haki kwa hawa jamaa kwa propaganda zao na ruswa bila mshikamano wa kutosha wanaweza kuchakachua matokeo tena
Back
Top Bottom