Mazeee, wale ambao msha fanyiwa oral ya hizi nafasi za TRA, interviews ambazo zianendelea tupeni habari basi mambo yakoje huko?
Tupeane nyago za kutoboa aseeee
Kiwanja kinauzwa kipo karibu na Airport Dar es Salaam. Ni kikubwa cha kuweza kujenga nyumba ya vyumba sita, parking na sehemu ya kupanda miti. Wahi kukinunua wakati huu tukielekea kwenye mvua ili upande na miti uitakayo.
Kwa mawasiliano piga 0784288385.
Kuna wale wa constebo na koplo ambao wamekwisha anza interview na interview zao bado zinaendelea, hebu tupeni mwanga jamani wanafanyaje huko baraza la maaskofu ili nasi tujiandae taifa?
Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.