Mnaosaka Ajira pitieni apa tujuzane hili??

kijana255

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Posts
280
Reaction score
264
Wale tunaosaka ajira naomba tujuzane website ambazo ziko vizuri au Uhakika kwa matangazo na post wanazotuma
 
Usimlishe Tango pori mkuu hawa jamaa ni wa ovyo sana Hata Tangazo likiwa la kweli wao wanabadirisha mfano Tanesco wametoa Tangazo wao wanadandia na kuandika uapply kupitia Brightermonday wakati ukilitafuta Tangazo sahihi linataka uapply kupitia Post office Box.

Pitia hizi website.

Mabumbe.com
Ajirazetu.com.
Ajira yako.com
Ajira.go.tz
Tayoa.com

Hao jamaa wako very updated na wako reliable sana.
 
Shukrani sana
 
https://www.ajiraalerts.com/ is also good
 
Usimlishe Tango pori mkuu hawa jamaa ni wa ovyo sana Hata Tangazo likiwa la kweli wao wanabadirisha mfano Tanesco wametoa Tangazo wao wanadandia na kuandika uapply kupitia Brightermonday wakati ukilitafuta Tangazo sahihi linataka uapply kupitia Post office Box.

Pitia hizi website.

Mabumbe.com
Ajirazetu.com.
Ajira yako.com
Ajira.go.tz
Tayoa.com

Hao jamaa wako very updated na wako reliable sana.
www.radarrecruitment.com
Nao wapo poa sana
 
Usimlishe Tango pori mkuu hawa jamaa ni wa ovyo sana Hata Tangazo likiwa la kweli wao wanabadirisha mfano Tanesco wametoa Tangazo wao wanadandia na kuandika uapply kupitia Brightermonday wakati ukilitafuta Tangazo sahihi linataka uapply kupitia Post office Box.

Pitia hizi website.

Mabumbe.com
Ajirazetu.com.
Ajira yako.com
Ajira.go.tz
Tayoa.com

Hao jamaa wako very updated na wako reliable sana.
Mkuu kupitia hiyo Brighter Monday unaweza kukutana na matangazo ambayo yatakupeleka kwenye link ya kampuni moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom