Recent content by majaliwatoyi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

    Tueleze CCM, wamekubali kitu gani, kama kweli we ni mfatiliaji wa siasa za tanzania, na kama kweli unaipenda tanzania na sio msukumo wa ushabiki
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Serikali kwa kuboresha maslahi ya walimu

    Jamani, watu mkikosa mada za kupost, muwe mnakaa kinya, Mtu unakaa unajikuta unakurupuka kuropoka. hIVI WE NI MWALIM AU UMEAMUA TU ULOPOKE Ee! Au umeambiwa ukimsifia raisi kwa ujinga wako utapata promotion? Hapo umekwama kaka.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lissu: Serikali ya wala rushwa haiwezi kukusanya kodi!

    Pole sana kwa kuwa na ufinyu wa mawazo kiasi hicho, unahitaji kukombolewa kimawazo, hapo ndipo uwezo wako wa kufikili ulipoishia. Hata maana ya uhuru hujui.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wapi intellijensia ya Dr Slaa?

    Kwa ushabiki huo usio na maana watanzania tunapoteza mwelekeo. Sikutarajia mtu mwenye busara kuzungumzia intelligence aliyonayo Dr slaa na badala yake watanzania tungeungana kulaani ugaidi huo. Watanzania tuache kushabikia ujinga, huo utatugharimu wenyewe
Back
Top Bottom