Recent content by Majaliwa Amosi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mmoja Mkenya aishtaki Serikali ya Israeli kwa kifo cha Yesu

    Mmmmmh,yule anauwezo wakujitetea mwenyewe wala haitaji kutetewa na wanadam.Yeye mwenyewe anasema jililieni ninyi na watoto wenu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi- SAFARI YA OBAMA TANZANIA

    hiyo nayo kubwa kuliko
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa

    Hivi neno mheshimiwa lina maana gani?Maana inanishangaza kuona mtu anaitwa mheshimiwa lkn mambo anayoyafanya ni tofauti na jinsi anavyotwa.Mfano Mwigulu Nchemba na wengine kama hao wanaitwa waheshimiwa lkn hao hao ndo wanaongoza kwa matusi bungen,inakuaje hapo?
Back
Top Bottom