Recent content by maishamagumu2

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliwaambia wazazi wasubiri niweke mambo yakae sawa wakanigomea, sasa naona yakitimia

    Haya yote sijayasoma. Nilichosoma ni kuona mtu mzima mmoja anamzuia mtu mzima mwingine asiende kwa baba yake na mama yake....... Ila amepanga kwenda nae kwa wazazi wake..... Haya tuendelee...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na mke wangu ambaye nimeishi naye miaka 2

    Nenda mahakama ya temeke Hawana mbambamba Si umehamua kumuacha mkeo bila sababu za msingi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari ya Hybrid

    Inabidi mafundi muweke mnapopatikana. Niliogopa kuchukua mwaka jana nikihofia wapi nitapata fundi. Nikawaza pa kupata betri ikabidi niwe mpole. Nika8shia kumshukia fundi wangu(anisamehe tu bure) kwamba dunia inabadilika badala ajifunze teknolojia.mpya atengeneze na hybrid kang'ang'ania atomatik...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Magari ya Hybrid yanayofanya vizuri Tanzania

    Wenzetu wa Hybrid service mnafanyia wapi? Ili na sie tununue. Lasivyo mafundi nyundo wetu hawa....
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TRA pitieni Mapungufu ya Kikokotoo cha Kukadiria Ushuru wa Kuingiza Magari used

    Hii ni kweli Imagine unaagiza gari 15M Ushuru kikokotoo kinapiga 12m
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri

    Tqfuta fundi umeme Nilipata tatizo kama lako ila sio kwa Honda. Nyaya zilikuwa na shida
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari ya Hybrid

    Shida mafundi wetu Na upatikanaji wa betry/cell za betry
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona, Wanaume kuweni makini na wanawake wenye watoto

    Shida sio mwananke mwenye mtoto... Shida ni umasikini....... Ukipiga hesabu ya 7,000 u aona utafute single girl......
Back
Top Bottom