Kuna hesabu umesahau mkuu. Kutoka kweny 13000 kila mfuko unatozwa vat ya 18% ambayo n sawa na 2340. Bei itakua 15340. Pia cement haiuzwi 20000 inategemea na mahali gan upo kama unatak mifuko ya nyati alaf upo mbali cost inaongezeka kwa sababu ya usafiri
Dini zinaathri kipande kikubwa sana cha population yetu, watu wakipato cha chini wanazidi kujikandamiza zaid huko nakutoa michango kibao wakiamin katika muujiza😔😔
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.