Recent content by maingo

  1. M

    Simtengu achafua hali ya hewa TPDC

    Wee kilaza lazima utetee hadi povu likutoke manake huyo ni hawala wa aliyekupa hiyo kazi ya kuja kutetea hapa. huyo mama anahusika sana na liko wazi. Na huyo mhasibu mkuu sio mwizi kwa taarifa yako mwenye kesi ya wizi ni mama simtengu hawala wa bosi wako hapo na alikwapua zaidi ya milioni 120...
  2. M

    Simtengu achafua hali ya hewa TPDC

    Katika hali isiyoeleweka, hali ya hewa ya shirika la mafuta la TPDC imechafuka ghafla mwezi huu baada ya kugawanywa kwa barua 11 za kuwahamisha wataalamu wa shirika hilo bila sababu za msingi na huku barua nyingine 14 zikiwa chini ya meza kupima upepo wa watumishi. Sakata hilo linaratibiwa na...
  3. M

    Lukuvi ampiku Anna Tibaijuka Wizara ya Ardhi

    Anachokifanya ni jambo zuri. Migogoro ya ardhi inaipeleka nchi pabaya
  4. M

    NEC hoi, itaharibu mambo

    Maridhiano ni muhimu sana kwenye hili.
  5. M

    Hofu yatanda iwapo rasilimali ya gesi asilia itanufaisha watanzania na ufisadi unaoendelea nishati

    Kiongozi Mtendaji Mkuu Wizara ya Nishati na Madini aangaliwe kwa makini. Anatumia madaraka yake vibaya. Ameamua kuweka watu wake kwa maslahi yake watakaomlinda katika shirika la TPDC. Amemuweka rafiki yake kuwa Mkurugenzi Mtendaji na Hawala yake waliyezaa naye kuwa Mkurugenzi anayesimamia...
Back
Top Bottom