Inasikitisha kwamba si ndugu, si rafiki, si kanisa wala si watanzania wote kwa ujumla hatushinikizi kujua mwenzetu alipo wakati pengine labda tayari anapiga stori na mwalimu nyerere huko
Trump ndie anaekuwa wa kwanza kuanza uchokozi wa mashambulizi mara baada ya mazungumzo au makubaliano halafu anajibiwa kwa kichapo kikali anatulia na kubaki na propaganda zake
Alikuwa na pozi lake la kusimama wakati anatangaza anasinama kama amevunjika miguu na sauti yake tulivu sio ya kupayuka na anakukazia macho kama uko nae ana kwa ana
Ukiwa ndumilakuwili a.k.a msaliti laazima utapotea tu kwenye ulimwengu wa siasa kwa sababu wananchi watakutema na gharama ya kurudi tena kwenye umaarufu inakuwa ni ngumu
Kiongozi mmoja aliwahi kuulizwa ni jambo gani kubwa alilowahi kulipata katika maisha yake yote ya uongozi akasema ni kukaa meza moja na yule msanii mkubwa duniani. Kwa hiyo huyo jamaa yangu hapo atakuwa amepata jambo kubwa la kutusimulia watanzania pamoja na wajukuu zake baadae
Endeleeni kulumbana wakati afcon inakuja. Baadae timu ikijafanya vibaya mtamtafuta mchawi ni nani. Badala ya ku concentrate na kuandaa timu nyie mnapambana na mambo yasiyo ya msingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.