Recent content by mahundi jimi

  1. M

    real motor japan

    ram thanks but kule nimeipata but nakuwa kama sina imani nayo so natafuta mtu alienunua currently ili niwezeb kulinganisha mana wanadai wamebadilishabaccount miaka mitatu iliyopita
  2. M

    real motor japan

    msaada wa account namba za bank real motors japan
  3. M

    real motor japan

    jamani samahani naomba msaada kwa mtu alieagiza gari real motors japani hivi karibuni naomna kupata msaada wa swift code na account zao mana inaonekana wamebadili bank account sasa naogopakuibiwa
  4. M

    Mshahara wa Assistants Inspector wa jeshi la Zima Moto

    nasikikia ni tgts d yaani laki nne na sitini na tisa:flypig::flypig: take home
  5. M

    Ttcl

    jamani walofanya ttcl call centre representative walishaitwa?...
  6. M

    Nimeokoa maisha ya mtu leo .......

    sasa atakufa kwa pressure ya ndoto zake kuangamia....
  7. M

    ttcl

    jamani ttcl vipi mana walisema wiki hii kwa second interview
  8. M

    Ajira ajira ajira serikalini!

    Hivi jamani inakuwaje baadhi ya ajira serikalini zinakuwa na mlolongo mrefu sana mpaka watu kuanza kazi, maana kuitwa kwenye interview nia zaidi ya miezi sita tangu nafasi zinapotangazwa,sasa kuitwa kazini itakuwaje....mfano mzuri ni hawa jamaa wa secretariet ya ajira na tangazo la kiswahili au...
  9. M

    Oryx na Mihan gas, which is the best choice?

    nadhani kama umeangalia vizuri hili ni jukwaa la mambo yanayohusiana na ajira sio mitungi ya gesi!
  10. M

    Kwa wale mliofanya Aptitude Test ya PSPF

    bikira ya mwazo! he...
  11. M

    ufafanuzi utumishi

    tuli mda unavyozidi kwenda wana update ukiangalia kwa makini asubuhi lilikuwepo moja sasa yako mawili so endelea kusubiri mkuu....
  12. M

    MSaada:Taarifa kuhusu nafasi zilizotangazwa NMB lake zone na Highland Zone.

    Mkuu hizo nafasi ulipoziona zinatangazwa ulikuja kuwajulisha wadau humu?
  13. M

    MSaada:Taarifa kuhusu nafasi zilizotangazwa NMB lake zone na Highland Zone.

    acha kudanganya watu ulipost wapi watu kila kunapokucha wanakuwepo kucheck update we unasema ulipost...inamaana watu wote hao hawana macho! kafanye interview sasa
  14. M

    Tanzania Leaf Tobacco Company

    juzi nilienda kufuatilia palepale morogoro tumbaku kiwandani nilipewa jibu kwamba ndio wako kwenye mchakato wa kuandaa shortlist
Back
Top Bottom