Duh! nimeamini kuna wa2 hum jf washakula kiapo cha kumstili mweshiwa jk lakini ukweli utabaki palepale, vyama pinzani ndo mwanzo wa kuona wewe ukaanza kuyajua haya baada kuwekwa peupe na vyama pinzani bisha usibishe.
Pole na kazi mkubwa. Mi ni new commer kwenye mada lakini imenigusa saana yan mpaka napata hasira, Naomba nikurudishe nyuma kidogo unajua Tz yetu inaviongoz wanaojua kuongea na wala si kutendea kazi wanachokiongea swala la Epa liko wapi hadi leo? Naomba unikumbushe mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.