Recent content by mahona leopoold

  1. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani ‘wamtosa’ Lipumba

    ccm ni chama kilicho kamilika kila idara wala hakihitaji kiki kutoka kwa mtu yeyote kwa sasa! nakushauri kuacha kuendekeza mawazo ya kizembe kama hayo kwa sasa, na hivyo basi tanzania hivi sasa, ccm imevizidi vyama vyote vya siasa katika kusimamia hoja za wananchi, hivyo nilazima wapinzani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani ‘wamtosa’ Lipumba

    hv wew ukiambiwa uletu angalau ndugu zako 5 wanao fananafanana tu na prof. uchwara utaweza, acha kuaminishwa na kukaririshwa na masilahi ya watu, wanao endekeza siasa chakavu zafaida zao!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani ‘wamtosa’ Lipumba

    acha dharau ndugu yetu wewe kwani wakina mama sio watu? au sio wanachama wa cuf? je wewe ulitaka awahutubie akina nani sasa! cuf ya prof.lipumba haitaji mamluki wa cdm ok?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani ‘wamtosa’ Lipumba

    kamwe haitawezekana katika tanzania hii iti upinzani uongozwe na wapiga dili pamoja na watuhumiwa sugu wa ufisadi kutoka ccm!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani ‘wamtosa’ Lipumba

    ni muhimu kufahamu kuwa prof. lipumba m/kiti wa cuf, hagombani na madiwani wa cuf wala mtu yeyote yule ndani ya chama chake (cuf) bali anapambana na mkono haramu ulioingia kwenye chama chake ukitokea cdm!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lipumba afungua akaunti mpya ya benki ili kupata ruzuku ya CUF

    duh utashangilia upepo hadi lini ,ndugu kila mwaka kupolwa ushindi nyinyi tu dah! inakera sana!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba wiki ijayo ataanza ziara ya wiki mbili kutembelea mataifa kadhaa

    wanachama watalinda offisi na haingii mtu pale
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba wiki ijayo ataanza ziara ya wiki mbili kutembelea mataifa kadhaa

    yaani wewe unajitia hutambui huku jaji anamtambua!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba wiki ijayo ataanza ziara ya wiki mbili kutembelea mataifa kadhaa

    kweli hii ni akili fupi kuangoza maprof.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba wiki ijayo ataanza ziara ya wiki mbili kutembelea mataifa kadhaa

    hizo ni ndoto za kambale kuishi nchi kavu!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba wiki ijayo ataanza ziara ya wiki mbili kutembelea mataifa kadhaa

    hakuna wahuni kama wewe huko wa kumpiga mayi viza msomi aliyetukuka kama prof.!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba wiki ijayo ataanza ziara ya wiki mbili kutembelea mataifa kadhaa

    very good chama kinajengwa tz na kote duniani, na huyub ndie prof.mwenyekiti wa chama cha cuf na msomi kuliko wote tz!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lipumba afungua akaunti mpya ya benki ili kupata ruzuku ya CUF

    utakuwepo wew mbona unautani na hatima yako!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Lipumba afungua akaunti mpya ya benki ili kupata ruzuku ya CUF

    jitahidi kuendelea kushabikia upepo ushindi kwani unakaribia!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Lipumba afungua akaunti mpya ya benki ili kupata ruzuku ya CUF

    hao wewe wasema wao! sio mimi ndio maana mimi naingia na jina langu kamili sio wewe unajificha, nikiamini ukweli daima,
Back
Top Bottom