Recent content by MAHIDOGOLI

  1. M

    Anayejua dawa ya bawasiri inayoponyesha msaada tafadhali

    Nichek in box mkuu nikuelekeze kutengeneza dawa ya HIYO KITU mkuu
  2. M

    Mlenda wa unga unatokana na majani gani na yanapatikana wapi?

    Huo wa Inga hutokana na mlenda WA asili AMBAO huitwa MBATA Unaoatikana Kwa wingi DODOMA kati.ni mzuri na mtamu pia unavirutubisho vingi kuliko wa bamian na maboga
  3. M

    Mlenda wa unga unatokana na majani gani na yanapatikana wapi?

    MAJANI mwitu pia waweza Lima maana tangazo MBEGU inaweza panda pia
  4. M

    Mlenda wa unga unatokana na majani gani na yanapatikana wapi?

    Maswali YOTE jibu NI Ndiyo. Yanapatikana Kwa wingi DODOMA.
  5. M

    Nimempa mimba mama mwenye nyumba wangu

    Usitoroke. Tulia tulii ILI uje umuone MTOTO wako japo sura
  6. M

    Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

    Mke hatafutwi kwa mtindo huuu
  7. M

    Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

    Chukua karafuu kijiko 1 cha chakula. Chemsha kwa maji lita 1 kisha unakunywa kikombe kama cha kahawa 1 Kila SIKU kwa SIKU 7. Au mils 20 yaani vile vipimio vya dawa ya Maji ( Syrup) Viwili kutwa mara 1
  8. M

    Anayejua dawa ya bawasiri inayoponyesha msaada tafadhali

    Upo mkoa gani utumiwe buree ILA utalioa gharama ya usafiri tu
  9. M

    Anayejua dawa ya bawasiri inayoponyesha msaada tafadhali

    Mkuu bawasiri inapona na Zipo Aina 2 ya nje na ya ndani. Wewe Una ipi mkuu
  10. M

    Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

    Katafute kitu inaitwa "AJWAIN" kwenye maduka ya viungo vya chakula au dawa za asili. loweka kijiko 1 cha chakula kwa glass 3 za MAJI.kwa muda WA saa 24. Kisha anywe glass 1 zile mdogo saa 12 asb na saa 12 jioni
Back
Top Bottom