Recent content by Mahebe

  1. Mahebe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano yautawala wake Uteuzi huo ni kama ifuatavyo...
  2. Mahebe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Kamuulize Mrema wa TANROADS aling'olewa siku mbili tu alipoingia ofsini.
  3. Mahebe

    JamiiForums Tanzania Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Magufuli amewapiga marufuku Makatibu Wakuu wa Serikali kusafriri nje ya nchi akiwataka wakae wafanye kazi na hasa kuokoa fedha kiasi kikubwa kinatumika ktk sfari za nje. Vile vile ameelekeza mabalozi walioko nje waiwakilishe serikali lakini kama kuna ulazima itabidi kibali kitolewe na Katibu...
  4. Mahebe

    JamiiForums Tanzania Chenge aandaa chakula Bariadi, Magufuli akacha kukila

    Mdau keshasema, alienda kula kwa Deo Filipokunjombe, haikuishia hapo tu, hata alilala nyumbani kwa Mbunge huyo.
  5. Mahebe

    JamiiForums Tanzania Chenge aandaa chakula Bariadi, Magufuli akacha kukila

    Mbulula mkubwa, Bariadi alipita jana mchana tulikuwepo kama ni picha imekosewa hapo nitakuelewa.
  6. Mahebe

    JamiiForums Tanzania Nani atakuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa endapo Dr. Magufuli atashindwa Urais wa Tanzania?

    Thread zingine zinasikitisha sana. Huna kingine cha kufanya?
  7. Mahebe

    JamiiForums Tanzania Magufuli alia kwa wananchi kuikataa CCM aomba msaada kwa maofisa wa CCM

    Ukiangalia video ya youtube na kilichoandikwa na muanzisha mada, ni irrelevance - haviendani, labda mtu kaamua tu kuandika kwa kujisikia.
  8. Mahebe

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Magufuli halisi usiyemjua na yule unayemjua kupitia CCM! Ni HATARI kwa Taifa!

    Hili boga maji kabisa, nani kakwamhia Magufuli aliwahi kuwa Waziri kusimamia TPA? au unaandika tu!
  9. Mahebe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi yamuaga Rais Kikwete rasmi, yamzawadia trekta

    Kikwete na Magufuli Leo pale Mnazi mmoja wamejumuika ambapo wahandisi na Wakandarasi wamemuaga Raisi Kikwete.
  10. Mahebe

    JamiiForums Tanzania Je, Raila Odinga atamsaidia kampeni John Pombe Magufuli?

    Nani atakuwa Rais ili tukujibu vizuri pia.
  11. Mahebe

    JamiiForums Tanzania Shigongo unajidhalilisha sana mdogo wangu

    dilemma Shigongo fanya kazi kwa unachokiamini achana na wahuni wa mitandao, wasikupangie uhuru wa kutoa mawazo yako.
  12. Mahebe

    JamiiForums Tanzania Ni mmoja wao Dkt. Magufuli, Membe na jaji Ramadhani

    Kwa Magufuli, nalala usingizi mnonooo!
  13. Mahebe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli akagua ujenzi nyumba za Serikali

    Sumaye aliwakata ngebe wapuliza zumari!
  14. Mahebe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli akagua ujenzi nyumba za Serikali

    Hakuna cha dalali ni TBA wataziuza
Back
Top Bottom