2nashukr sana kwa uongoz wa chuo kikuu cha udsm daruso kwa kwenda hesbl kudai haki za wanafunz pia kuahid kutafta haki hiyo popote pale haijalish ni kwanamna gan ss 2po pamoja nany mwanzo ad mwisho 2nashkr kwa ktuambia mpaka kielewe na kfika next week actual action nitakuwa zimefahamika uckose...
Yap na kama ni negative inamaanisha walioomba wamezid capacity mfano walioomba ni 40 bt capacity ni 31 na yy akiwemo ikiwa ni zero t mean wamefit ile capacity na kama kna 34 mean capacit ya chuo bado haijajaa.cha msing lets wait
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.