Recent content by mahatzog

  1. M

    Msaada: Nasumbuliwa na fangasi, nikitibiwa zinarudi tena

    Sawa matibabu yake ni yapi maana nisha kwenda mala kadhaa kumuona doctor nikaambiwa n fangus ila kila kitumia dawa napona then nalud tena
  2. M

    Msaada: Nakabiliwa na maumivu makali ya Nyonga

    Habari ndugu zangu, Nina umri 23, nimepata tatizo la maumivu makali ya nyonga (kiuno). Nimesha fika hospitali zaidi ya mara 2 na nimetumia dawa za vidonge na kuchua, pia hua zinapunguza maumivu kwa muda tu ila yanarudi na xrays nimepiga sina tatuzo lolote. Tangu niumwe ni miezi 7 sasa na sijui...
Back
Top Bottom