Dawa...?Hiyo siyo fangasi ni impetigo ya bacteria.
Nenda hospital hio ni kipanguaa au kioteo
niniiiiiboxer/ chupi anza upya yan tafta chupi mpya
punguza ulaji wa vitu vya sukari nyingi
tibiwa wewe na mwandani wako
usivae nguo zandani za kubana
mapumbu yapate hewa au uke upate hewa
Sawa matibabu yake ni yapi maana nisha kwenda mala kadhaa kumuona doctor nikaambiwa n fangus ila kila kitumia dawa napona then nalud tenaHiyo siyo fangasi ni impetigo ya bacteria.
Sawa shukranTumia sonaderm