Recent content by magwiru

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

    barabara zilijengwa ili zitumiwe na magari na kila kinachotumika huchakaa na kinatakiwa kufanyiwa ukarabati sielewi kinachosumbua ni nini hapa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

    Kwa kukiuka sheria waliozitunga wenyewe?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

    Kwa taarifa yako mwenye lori anatakiwa kushusha au kulipia pale atakapozidi baada ya 5% kuongezwa na sheria ndio inavyosema hivyo. Magufuli hataki hivyo na baada ya kikao kati ya wenye malori na serikali chin ya waziri mkuu kukutana magufuli alilazimisha tafsili ya sheria itolewe na mwanasheria...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

    Ati mlala hoi anajenga barabara, kwa kitu gani? mlala hoi hata kodi ya mtaa tu halipi. Barabara hizi zinajengwa na mlipa kodi na wenye magari ambao kwa kila lita moja wanayonunua wanalipa shs 238.00 ambazo zinakwenda kwenye barabara sasa ni hawa hawa wanaolipa ndio huyu waziri anawakejeli ili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

    Harry amefariki 24.12.2012 nchini Canada sio Australia na amezikwa Canada ambako familia yake ipo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

    Sijui huyo aliyeandika kuwa hao watu waliitwa kwa Mwalimu halafu wakasamehewa na kupewa kazi, ameyatoa wapi labda ulevini au ndotoni maana hakuna kitu kama hicho. Wahusika walishitakiwa wkiwa 30 na baadaye 18 waliendelea na mashitaka, tisa wakafungwa maisha 1985 na kuachiwa kwa msamaha wa Mwinyi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mugabe awasha moto UN!

    Kwa nini asijiwashie moto mwenyewe kwa mahotel anayomiliki Malaysia na Hong Kong na mali aliyolimbikiza mkewe wakati umasikini unakithiri kwa watu wa hali ya chini nchini mwake. Huu ni unafiki at its best
Back
Top Bottom