Malumbano yenu si msaada kwetu, mmeshiba mali zetu na bado mnatuonyesha namna mnavyo endelea kulamba mali za nchi hii, hamna hata chembe ya huruma hata mwananchi yule wakima cha chini mnamtoza kile kidogo alicho nacho iweni na hata chembe ya huruma jamani,Nakukubali Mnyika huenda una malengo...
Kazi kwelikweli, ukweli upo palepale wa kamba hii ivutwayo kushoto na kulia na watu hawa waliojidhatiti toka pande zote mbili,wapita njia tunawatakia mema ,amani na umoja wetu ulindwe vema,tunajua 2015 tutakuwa na majibu sahihi,MBOWE karibu tena Songea ukijua kuwa ni Mji wa Amani sana.
Pole sana MH Wazri mkuu, nakukubali sana kwakuwa ulipomaliza kupangusa vumbi la ajali ile hukuchoka ukaendelea mpaka Namtumbo nakuwapa ahadi na mengineyo wana wa Namtumbo, ww ni jembe.OMBI watekelezee uliyo wahaidi wana wa Namtumbo,kisha upunguze makali na kibuli ulicho wakirimia ndugu zetu wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.