Recent content by magulu ga nyamu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Manyoni: Basi la Bunda lagongwa na treni na kuua

    poleni kwa majuruhi wote wa ajali hii,Mungu awasaidie mpono upesi,pamoja na hayo ni uzembe wa nani?mpaka lini tutaendelea kuchezea uhai wa wenzetu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Angalia hii......

    hiyo kali kaanguka lakini pombe haimwagiki
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanaodaiwa kumuua Padri Mushi Wakamatwa...

    hata hawa waliokamatwa ni wakenya?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    hayo matokeo ya unayoonyesha ya mdogo wako ni ya mwaka upi?nisaidie matokeo ya mwaka 2012/2013 ya kidato cha nne yametoka au bado?pls nisaidie kujua,ninaishi kijijini vitu kama hivi ninakumbana navyo mara moja moja sana kwa bahati tu hapa mpaka kesho nitarudi tena kuja kuchati kwa helini narudi...
Back
Top Bottom