Recent content by magufuliforpresident

  1. M

    Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Mabadiliko ya kweli yapo ndani ya chaka sahihi ; wanapemba wenzangu tumchague Mwinyi kwa ajili ya maendeleo naamini utendaji kazi wake ni wa hali ya juu tangu chipukizi hatujakosea na tupo kwenye sehemu sahihi ... okyoba tukampe kura za ndio na za kutosha sio za manati 💪🇹🇿✅
  2. M

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Katika Masuala ya jumla na ya kimataifa Tanzania imeweza kuongeza mapato, kutoka wastani wa shilingi bilioni 850 hadi shilingi Tilioni 1.5, Kuongeza makusanyo ya madini kutoka shilingi bililioni 160 hadi shilingi bilioni 528 mwaka 2019/2020. Kadhalika kuongeza makusanyo ya Halmashauri kutoka...
  3. M

    Lissu ni kibaraka, anatumiwa na mabeberu wanaotaka kuiba rasilimali za Tanzania

    Kwa upana wa fikra zetu tunatambua sahihi lengo la huyu LIssu , hatutokaa kufanya makosa ya kumkabidhi nchi kwa maslahi ya wabepari. Tuna imani na magufuli na tutamchagua tena. #magufulimitanotena #kazizaidi
  4. M

    Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    wakiwa wameshindwa hata walau kumstiri; mama wa watu??? mpaka wamevujisha video za huyo mama??? migogoro yenu ndo inazidi kwadhoofisha; mjipange upya tar 25 magufuli anapewa nchi yake
  5. M

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    wamebaki tu kutapa tapa , na sasahivi mbowe haongei chochote , yupo tu anatazama mchezo kashavuta pesa kakaa pembeni wakiwa jitambueni mnaelekea pabaya
  6. M

    Lowassa na UKAWA wamesahau kuwa SIASA NI SAYANSI

    siku zote ukweli unauma, wakiwa, hawatekelezi mambo yao kumlinda mgombea wao matokeo yao kazi yao ni porojo na vurugu, huku chma tawala kina chimba vitongoji hadi vitongoji, hapa ndipo wanapofeli, oktoba ccm itashinda tena, na watabakia hvyo hvyo na propaganda zao, yaliozungumzwa hayo ni ukweli...
  7. M

    UKAWA lazima okoeni jahazi linazama sasa

    wakiwa, mwisho wao mbaya saana, maskini, wala hawaoni tatizo , wanaona swa tu huo ni ushaboiki maandazi, chama kinayumba hakina hata msimamo, japokua mmekazana kushikilia mabango ya kuondoa ccm, lakini nimewaona wapumbavu kuuza chama chao kwa fisadi, miaka yote hio, mmetengeneza chama imara na...
  8. M

    NCCR, CUF: Hatutapiga kura kwa UKAWA

    hhhahaha tatizo wakiwa bwana , kila siku vitu vyao vikienda upande utaskia ccm, kwani nyinyi ni mungu hamkosei?? na mwisho wenu mbaya saana mnapoelekea, mpaka mnatia huruma
  9. M

    Kuna kila dalili CHADEMA na UKAWA watakataa matokeo ya Urais

    hahahah wacha waangaike, na wakaidi, waswahili wanasema asiependa kuambiwa maana hajui maana, magufuli atawanyoosha oktoba
  10. M

    Synovate Ipsos kutoa matokeo ya utafiti wake leo saa tisa na nusu mchana

    hhhahahah tatizo la wakiwa wakiambiwa uongo, ndo wanafurahi, ila wakiambiwa ukweli hawataki, hawana sera, makelele tu, yani ukikuta mtu anabisha kama nn sijui, let things flow, vyenyewe , na fujo nyingi zinatoka kwao, sijui hawafikirii kuna maisha baada ya uchaguzi , na subiri walete utafiti...
  11. M

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    waswahili wanasema lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja, sasa tumeshuhudia live chama kimeuzwa kwenyegunia na m/kiti kashakimbia , poor wakiwa #hapakazitu
  12. M

    Bendera za CCM zaiteka Arusha

    safi saana wameshaanza kuelewa magufuli ni nani, ushindi ni lazima
  13. M

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Bukoba Mjini, Kagera - Septemba 21, 2015

    maneno ya mkosaji utayajua tu, magufuli baba kura yangu unayo, wataelewa tu, hapa kazi tu
  14. M

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    hahahha, mwisho wa ubaya aibu siku zote
Back
Top Bottom