Recent content by Magoya2000

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha

    Wamezima Mitandao kabisa....Mambo ya ajabu sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Mmemkamata Lissu chama kipo mikononi mwangu, haki ya Mungu tutawashughulikia

    Kujadiliwa na Bunge la Ulaya sio mtu Mdogo. Uogopi mkuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama kimbunga cha No reforms no election Geita, Wenje aseme ahami chama, CCM hoi

    Chama kipo ndani ya damu wananchi. Muda utaongea! Lissu akitoka utaona furaha za watu na mafuriko makubwa. Viva Lissu
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ogopa Teknolojia na Mungu! Sasa ni rasmi G55 wametumwa kuifumuafumua CHADEMA mpaka isambaratike

    Lissu alivyoshinda Uenyekiti wananchi wengi walifurahi maana Tumaini lipo kwa Lissu na Heche. Mamluki wote wataondoka
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania msiogope vitisho vya hawa wasiokuwa na akili wanao wateka watu ili wasizoee tunauwezo wote wa kuwakabili na kutoa funzo

    Hilo Ni kundi dogo....Watz wengi wamechoka udhalimu. Ipo siku utashuhudia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya jino na Kichomi

    Habari za humu! Kama kuna mtu anasumbuliwa na jino na kupata maumivu makali sana kuna dawa ya kienyeji ambayo utapona ndani ya dk 5 na kuisha tatizo lako. Wahi sasa 0747928158 Nipo Dar
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

    Nilichojifunzs hizi Mahakama Kuna upungufu sana kwenye Sheria maana Mwanaume unapewa majukumu ya kusomesha watoto na bado Mali unapata mgawo mdogo. Ndoa ni kwa ajili ya kuwatajirisha wanawake na kuwarudisha nyuma kiuchumi wanaume. Sasa umejifunza naamini hutafanya Tena mistake hizo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

    Yaani hata Mimi siungi mkono kwa Hilo. Wachaga sio wabahili Wao wanakula Bata vizuri sana. Mpare anaweza kumiliki nyumba 50 mjini akawa anatembelea baiskeli pia Hali chakula kizuri Wala hapigi pamba Wala halali pazuri.
  9. M

    JamiiForums Tanzania CCM hawakurupuki kwenye mambo yao na mtu akizingua anafinywa ndani huwezi kuta wanaparuana nje. Hapa ndio CHADEMA mnafeli

    Kitu ambacho Chadema wanafanyia ndiyo demokrasia ya kweli. Mtu ana uwezo wa kumpinga mwenyekiti bila kuogopa. Siamini kama nyiye man uwezo wa kushindana na mwenyekiti. Wengi wanaogopa kuliwa kichwa. CCM Ina wenyewe mkuu wengine ni wasindikizaji. Kuna mengi ya CCM tunajua tunabaki kuangalia tu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania KANDA YA PWANI: Wenyeviti na Viongozi wengine wanaomuunga mkono Tundu Lissu nao wakutana na kutoa tamko lao la kumtaka Freeman Mbowe akalee wajukuu

    Naomba sana Mbowe aachie nafasi ya uenyekiti ili kukikomboa chama chetu. Otherwise kama kitamfia mikononi mwake. Lissu anaweza kwa sasa kutufikisha Kanaani mpya
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

    Mabwabwa mengi siku hizi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lissu ni Taasisi inayotembea, tukimpoteza tutapoteza mengi, akosolewe bila matusi

    Mbowe katumikia nafasi ya mwenyekiti miaka mingi. Akiendelea jamii itajenga taswira ya chama chake pia chama Cha ukanda. Amuache Lissu naye aliendeleze gurudumu.. Lissu ni potential watu makini wanamuhitaji.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza sana Ndugu zetu Waislamu kujitoa kuwahudumia bure wagonjwa mahospitalini ,huduma za chai , chakula mchana huduma nyingine Kwa waliozidiwa

    Ukwelli tuongee! Katika masuala ya sadaka za kusaidia wasio jiweza na wagonjwa Waislam hapa nawapongeza sana. Wakristo wengi tu wabinafsi kwenye kusaidia watu. Pale mivinjeni ya pili Kuna Mwarab anatoa msaada wa chakula kwa wasiojiweza. Tuwape maua yao kwa kweli.
Back
Top Bottom