Recent content by Magototz

  1. Magototz

    JamiiForums Tanzania Thinking Deeply: Ilikuwaje Tundu Lissu akavuliwa nguo zote na kupewa dereva badala ya mke wake?

    Kweli waTZ ndiyo maana tu maisha haya UDAKU UDAKU, kweli mtu mzima mwenye akili timamu unaleta mada ya kitoto kama hii. Vyombo vya habari viliripoti kuwa mkewe alienda dodoma na ndege ambayo ilipaswa imchukue Lissu kumleta Muhimbili kwa matibabu zaidi hivyo mtoa mada ulitaka wasimtoe nguo hadi...
  2. Magototz

    JamiiForums Tanzania Wakuu banda linauzwa

    Kuanzia mpaka wa Idara ya hali ya hewa kwenda reli ya Tazara hadi Magereza hilo ni eneo la Uwanja wa ndege na nyumba zote za hayo maeneo zilipigwa X mwaka 1997 na kuna baadhi viwanja walipewa maeneo ya Pugu kinachosubiriwa ni baadhi wamaliziwe kupewa viwanja na fidia kidogo then bomobomoa ianze
  3. Magototz

    JamiiForums Tanzania Wakuu banda linauzwa

    Salaam wana Javi hilo eneo nyumba zake zimeisha weka x zinasubiri kubomolewa kupisha upanuzi wa uwanja plz aliyeleta tanzazo sijui ana nia gani
  4. Magototz

    JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja Tegeta Boko, kimepimwa na hati miliki

    Plz weka namba ya mawasiliano
  5. Magototz

    JamiiForums Tanzania Kila goti litapigwa! GSM waanza kuisoma namba!

    Salaam wana Jamvi Ni kweli hapo awali kulikuwa na hayo malalamiko hawa jamaa kutoa mizigo kwa bei rahisi kuliko mawakala wenzao lakini kwa sasa kinachofanya akose mizigo ya kusafirisha ni upungufu wa wa hiyo mizigo unaotokana na upungufu wa Meli kwenye bandari zetu kwa ushahidi unaweza...
  6. Magototz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza samsung galaxy tab 2

    Mkuu naomba mawasiliano yako
  7. Magototz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza samsung galaxy tab 2

    Mkuu naomba mawasiliano yako
Back
Top Bottom