Lema ndie mtu pekee anayyeweza kukaribia, na pengine hata kuvunja ya Mr Sugu kwa wingi wa kura! Opareshen Delete CCM ndo inamalizia kazi huko Arusha.namuonea huruma yule diwani Gamba katikati ya magwanda kibao!
Pombe tayari imeshafikishwa Ikulu by force! Ila BWANA "HEKIMA" (A WISE MAN) amebaki mioyoni mwa Watanzania wote, Kasoro wale tu wasiojielewa!!! Ni Mwwenye hekima tu, ( Nabii SULEIMAN ) aliyewaambia watu wake enzi hizo; "mshike sana elimu, waala usimwache aende zake". Elimu huleta ujuzi...
Haswaaa, moto uliobebwa na green gurd kwenda kuchoma fikra za kiMAPINDUZI. MAKABURU waliwauwa kina Stive Bico na wanaharakati wengine wengi! Lakini mwisho wa yote harakati zilishinda, kaburu akaachia! Sembuse nyinyi CCM!
Kwa sababu sio ndugu yako, ropoka tu! Lakini wenye hekima husema, "majira huongea, na nyakati hunena". Tuiteni majona yote mabaya, lakini kuna siku majira yatakuja kuongea. Hapo tutatambuana.
Kwa akili yako unataka azikwe tu kirahisi kama kafa kwa MARALIA sio? Huyu mtu KAUAWA! tena sio tu kauawa, lakini wauaji wamemshambulia akiwa kazini! Kazi za CHAMA! HAWEZI KUZIKWA KITOTO TU! Anastahili heshima yake. Achha ujinga
Mawazo alikuwa mwenyekiti wa chama mkoa wa Geita! Pili kifo chake sio cha ugonjwa, KAUAWA KIKATILI! akiwa katika shuguli za CHAMA. Unawaachiaje ndugu katika jambo zito kama hilo?
Kwani polisi wa Tanzania wakoje? Au wameshapata HABARI ZA KIUCHUNGUZI A.K.A INTELGENSIA kuwa kutakuwa na fujo??? Polisi, mnatutengenezea TUWACHUKIE bila sababu.
Aanze na majengo ya katikati ya mji. Kuna lile jengo lipo pembeni mwa IKULU limezidishwa UREFU makusudi! Sheria inasema mwisho gorofa SITA, Wao kwa JEURI tu wakapachika saba zingine, zikawa kumi na tatu. VUNJAAAA!
Leo Mwanza naona makanisa yatakosa waumini, Maparoko na Maaskofu wasamehen bure watu wenu. Wapo kwenye ibada nyingine leo. Ibada isiyotaka sadaka ya pesa, bali maisha ya kujitoa MUHANGA kwa ajili ya USTAWI wa TAIFA LETU!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.