Recent content by MAGOA KEULA

  1. MAGOA KEULA

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Asante ndugu kwa elimu yako nilikitamani kitabu fulani nikashindwa jinsi ya kukinunua lakini kwa muongozo huu naweza jaribu.Nikishindwa nitarudi kwako kwa muongozo zaidi.
  2. MAGOA KEULA

    Nani anakagua mitaala ya Uhandisi Vyuo Vikuu?

    Siri kubwa ya mafanikio ktk. engineering ni kujituma tu ktk.kile unacho kisomea.Vijana wengi vyuoni hawafanyi mazoezi kwa vitendo hubaki kuchati tu ktk.mitandao ya kijamii na hayo ni matokeo yake.Kazi hawawezi.wapo wengiwatu wa aina hiyo
  3. MAGOA KEULA

    Tunaunda na kurekebisha incubator .

    Ndugu wana JAMII forum, kwa wakati tulionao kumeibuka wimbi la mafundi wakutengeneza incubator za kuangulishia vifaranga vya kuku ambao sio waaminifu ktk.kazi zao hizo muwe makini.BAADA YA KUTOA TAHADHARI HIYO NINAWAALIKA KUWEZA KUJIPATIA INCUBATOR KUTOKA KGE & MGE (KMGE) CAMPANY AMBAZO NI...
  4. MAGOA KEULA

    mashine ya kuangulia vifaranga vya kuku zinauzwa.

    Asante kwa ushauri.Tunalifanyia KAZI Ila kwakifupi MASHINE ya mayai 100- 450,000/= Mayai-150 -500000/= Mayai 200 -600,000/= bei hizo zote ni kwa mashine zile zitumiazo nishati ya mafuta ya taa. Mashine za umeme automatic Mayai 100- 750,000/= Mayai 150- 950,000/= Mayai 200-...
  5. MAGOA KEULA

    mashine ya kuangulia vifaranga vya kuku zinauzwa.

    KGE & MGE inawakaribisha wajasiliamali wote wafugao /wanao tarajia kufuga kuku ,kuwa tuna unda na kuuza mashine za kuangulia vifaranga vya kuku kwa gharama nafuu sana.mashine zetu huweza kumfikia mteja popote pale Tanzania.kwa mahitaji yako ya incubator bora na kwa gharama nafuu waone KGE & MGE...
  6. MAGOA KEULA

    KGE & MGE company

    KGE & MGE NI kampuni inayo jishughulisha na uundaji na utengenezaji wa Power Inverter ,Back up machine, Mashine za kuangulishia vifaranga vya kuku zinazo tumia umeme na zile zitumiazo mafuta ya taa kwa gharama nafuu. Mashine zote zina uwezo tofauti kulingana na mahitaji ya mteja husika. Kampuni...
Back
Top Bottom