Recent content by Magnificient

  1. Magnificient

    Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Welcome to the hood, INTROVERT! Waambie wazazi wako kwamba uko sawa kabisa na hakuna tatizo Lolote
  2. Magnificient

    Wanaume, huwa mnaharakia nini?

    Pawa pawaaaa Naishiwa pawaaaa 😂😂😂😂
  3. Magnificient

    DOKEZO Responded Ayra Starr amesainiwa Roc Nation. Tanzania tunafeli wapi wasanii wetu kusainiwa na lebo za kimataifa?

    International Record Labels ni biashara sio hisani. Zinaangalia zaidi numbers na growth potential - streams, fans, merchandise sales, revenues, costs na net profit. Itawagharimu kiasi gani kumfanya msanii awe biashara, anaweza kustay afloat kwa muda gani na anaweza Kuingiza faida kiasi gani...
  4. Magnificient

    Dawa ya mwanamke anayekunyima unyumba

    Namaanisha kwamba.... Tushaoana 🎶🎶🎶🎶
  5. Magnificient

    Ulikuwa hujui kwa nini mchungaji wako ana bonge la leso, muda wote anajifuta futa madhabahuni? Ni leso za kishirikina, sikiliza ushuhuda huu!

    😁😁😁😁 Umasikini, ujinga na maradhi vikikutana katika mwili mmoja huwa ni hatari sana
  6. Magnificient

    Ukweli mchungu: Kununua ni bora mara mia kuliko mahusiano

    Kijiwe ndo kipya ila malaya wa zamani. Ametoka Kitambaa Cheupe amehamia Kariakoo 😂😂😂 wewe unapewa unaambiwa mali mpya
  7. Magnificient

    Nahitaji Ushauri Wenu: Nimejawa na hofu ya ugonjwa wa UKIMWI

    Hao washkaji zako ni competitors wanataka wakupunguze kwenye competition 😂😂😂
  8. Magnificient

    Mwanaume asie na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

    Some shoes are too big and heavy 😭😭😭
  9. Magnificient

    Jamani nimeyakoroga naomba ushauri

    Kiutaniutani tu....
  10. Magnificient

    Mtu asiyewatunza watu wa nyumbani kwake ni mbaya kuliko atheist

    Sent or Inspired by Single mother 😊
  11. Magnificient

    Dada Zetu hadi unafika hatua ya kujiuza/ukahaba/umalaya au u barmaid ni kwamba umekoswa kabisa kazi ya kufanya?

    Kama hujui kazi anayofanya demu wako na hukai naye, au hujui past yake, basi inaweza kuwa na yeye ni mmoja wao 😀
  12. Magnificient

    Mke wangu amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau, ni namana gani naweza kuvunja ndoa?

    Ukiona panya anamringia paka ujue shimo lake haliko mbali..... Tayari mwanamke wako Ana alternative nyingi, na wewe anakuona ni kama kikaragosi
Back
Top Bottom