Recent content by MAGNACARTA

  1. MAGNACARTA

    Mke wangu anajiuza?

    Unatudanganya. Kwa mujibu wa maelezo yako hakuna ukweli wowote hapo. Katika mawasiliano ya SMS, anayechat (sender) husomeka upande wa kulia (i.e. mke wako) huku upande wa kushoto wa conversation ni yule recipient. Ungetuambia kuwa mke wako ndiye aliyeuliza bei tungekubali, vinginevyo...
  2. MAGNACARTA

    Rais Magufuli anatakiwa kumshukuru Rais Donald Trump!

    Ninafikiri kinyume cha maelezo yako ndio sahihi. Rais Magufuli alitangulia kuongoza nchi (Tanzania) akifuatiwa na Trump (US) mwaka mmoja hivi baadaye. Maelezo sahihi ni “Trump amshukuru Rais Magufuli.”
Back
Top Bottom