Recent content by magistergtz

  1. magistergtz

    JamiiForums Tanzania Zitto aagiza walimu wanaouza maandazi wakamatwe

    Kama mbunge, Zitto hana mamlaka ya kuamrisha mtu akamatwe na polisi
  2. magistergtz

    JamiiForums Tanzania Double Standards za Ikulu kumtetea Ombeni Sefue

    Nami nimesoma nikashangaa. Na wala hauoneshi nguvu kiivo ndo maana nahisi wala haujasambazwa katika vyombo vingi vya habari kama Ikulu inavofanya kwa habari nyingi.
  3. magistergtz

    JamiiForums Tanzania Coca cola mambo gani sasa haya?

    Hahahaaaaaaaa.....
  4. magistergtz

    JamiiForums Tanzania Ikulu yatoa sababu ya Rais kutohudhuria sherehe ya mabalozi

    Demokrasia ni uwakilishi. Kwamba Raisi alimtuma mwakilishi inatosha
  5. magistergtz

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Jaji Warioba, Benjamin Mkapa Ikulu Dar es salaam

    Kama Maghufuli ataanza kuwasikiliza kina Mkapa, ndo basi tena
  6. magistergtz

    JamiiForums Tanzania Nape: Wanaotoa kauli za kukigawa chama tutawashughulikia

    Kweli, Nape hafai kuwa kiongozi. Hajui aseme nini na wapi aliseme
  7. magistergtz

    JamiiForums Tanzania Mapadre waanza rasmi kumpigia Magufuli kampeni

    Padre Mbano ndo Mapadre?
  8. magistergtz

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Kosa la kumwacha Membe litaigharimu CCM bei kubwa mno. Walipoamua kumkata EL ilikuwa lazima Membe akatwe ili CCM iendelee kuwa moja. Wamefanya kosa, watajuta
  9. magistergtz

    JamiiForums Tanzania Zitto, una maana gani katika kutaja mikoa yenye maendeleo zaidi Tanzania?

    Msaliti huyu, anatafuta public sympathy tu
  10. magistergtz

    JamiiForums Tanzania Nape amvaa Dr. Slaa

    Tatizo Nape mropokaji mno na ashaonywa sana kwenye vikao vya ccm na wajumbe wengi ila habadiliki. Huwezi jua kama haya ni ya kweli au aliwashwa tu kuropoka
  11. magistergtz

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wakati mama yangu anaumwa, mimi nilimpatia Kafulila makabrasha ya ESCROW akapambana

    Kama sio msaliti iweje baada ya kuingia act ashambulie wapinzani wenzake wasio na dola? Iweje kwa mfano aseme wabunge wote wa Kigoma (ambao wengi ni wa NCCR na Chadema) wagamie act la sivo watangoka! Huyu ni mpinzani wa namna gani? Huitaji akili nyingi kujua zitto ni kibaraka sumu. Kuliko...
  12. magistergtz

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    Anafaa
  13. magistergtz

    JamiiForums Tanzania Safari hii ni zamu ya Zanzibar: Wameufyata

    Haiingii akilini vizuri kwamba mtu kutoka Zanzibar aje kuwa rais JMT ambayo kimsingi ndo Tanganyika! Hatupaswi kukubali mpaka pale Mbara atakapoweza kuwa rais Zanzibar. #Ni mtazamo tu#
  14. magistergtz

    JamiiForums Tanzania Kikwete ahutubia kwa Kiswahili mkutano wa AU huko Sandton, Afrika Kusini

    Kashtuka saa 11!!!!
Back
Top Bottom