kauli zingine duh zinahtaj umakin
viongoz wa dini wanaozungumziwa ni wapi kanisani kila mtu ni kiongoz, uongoz unaanzia kwenye jumuiya
pia wasipange mstari kwa mambo yapi au Je hata mambo binafsi
mi nadhan tuendelee na utaratibu wa kawaida tuliouzoea " wa kwanza kuingia wa kwanza kutoka"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.