Recent content by MagicM

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa mbezi beach goba road

    Napenda kupangisha nyumba hii kwa mabachelor 4 ambapo wawili watapanga vyumba kwa shillingi 180000 kila mmoja na wawili walobaki mmoja atapanga kwa shikingi 200000 ambacho ni master na mwingine atapanga kwa 160000........... Nyumba hii ni self contained kwa hiyo watu hawa watashare jiko...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa- mbezi beach samaki wabichi

    ni bora kuja kuona mwenyewe kuliko kutegemea picha si dhani kama itasaidia............... Kwa mwezi 600000 ila kama muhitaji unaweza kuja tuongee
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa- mbezi beach samaki wabichi

    Nyumba ina vyumba 4 vya kulala iko maeneo ya mbezi beach samaki wabich na iko barabarani. Nyumba imezungukwa na huduma zote muhim kama vile hospital na nyinginezo, ina maji na umeme. Kama utapenda kuiona ni PM ili upate maelezo zaidi na mawasiliano KARIBUNI SANA..............
  4. M

    JamiiForums Tanzania nyumba inapangishwa mbezi beach

    mbezi beach kubwa maeneo gan
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa

    Nyumba inapangishwa iko maeneo ya mbezi beach kituo cha samaki. Nyumba iko barabarani ina maji na umeme ina vyumba 4 vya kulala na imezungukwa na huduma muhim kama vile hospital na nyinginezo inaweza kupangishwa kwa familia au kwa bachelors 3 hadi 4. Kwa wanaopenda kuiona wanaweza kuni PM kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanroads KIBAHA

    Habari zenu wana jf Naomba kujulishwa kama kna watu walioitwa kwny interview tanroads Kibaha au kama kna taarifa yoyote. . . . .
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANROADS Wametema

    Tujuze ni tanroads kibaha au wp?
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANROADS Wametema

    huyu isaac vp au anataka kwnda kfanya peke yake atoe taarifa zieleweke
  9. M

    JamiiForums Tanzania landmark kunduchi

    hawaeleweki mi na rafki yangu tulipeleka pale hazkfnguliwa na tukaandika majina yule babu akatuambia twende kwny intvw tarh 20 rafk yang akamwambia tutakujaje bila kpigiwa cm yle mzee akasema ye ndo alivyoagizwa kusema hvyo . . . . . . Sa cjui mtu afate tangazo au yule mzee
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kazi Idara ya Uhamiaji

    Tangazo halionekani jaman heb nijuzeni nijue cha kfanya
  11. M

    JamiiForums Tanzania Customer care representatives

    Naweza pata address zao plz. . .
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Habari zenu wana JF natumai mko poa sana..................... Ombi langu ni kwamba naombeni msaada wa kujua interview za tanroads zinakuwaje je zinakuwa za oral au written ...... Tafadhalinni naombeni msaada wenu coz nsingependa kupoteza nafasi hii............ ASANTENI
  13. M

    JamiiForums Tanzania 211 waitwa TANROADS REGIONAL MANAGER’S OFFICE – KILIMANJARO: Lakini Zingatia cheti cha kuzaliwa.

    Dah nashkuru sana mkuu umenisaidia
Back
Top Bottom