Nyumba inapangishwa mbezi beach goba road

MagicM

Member
Joined
Sep 19, 2011
Messages
80
Points
0

MagicM

Member
Joined Sep 19, 2011
80 0
Napenda kupangisha nyumba hii kwa mabachelor 4 ambapo wawili watapanga vyumba kwa shillingi 180000 kila mmoja na wawili walobaki mmoja atapanga kwa shikingi 200000 ambacho ni master na mwingine atapanga kwa 160000...........
Nyumba hii ni self contained kwa hiyo watu hawa watashare jiko, sebule na sehemu ya kulia chakula watatu watashare choo na bafu.
Nyumba hii ina uzio, Umeme na maji pia iko karibu na barabara.
Kama utahitaji karibu ujionee mwenyewe na kwa mawasiliano zaidi niPM

KARIBUNI SANA
 

Forum statistics

Threads 1,392,165
Members 528,552
Posts 34,100,393
Top