Recent content by magia

  1. M

    #COVID19 Japo Chanjo ni hiyari, ila ni muhimu. Hupandi Ndege bila cheti cha Kupima COVID19. Kama unasafirisafiri, Chanjo ni Muhimu

    Hao waliorudi PCR test zimechelewa kutolewa na maabara kuu ya taifa ni wengi wamekosa kusafiri leo maana mpaka muda huu vyeti vilivyotakiwa vitoke jana mpaka sasa havi havijatoka labda wanaosafiri usiku ndiyo wataondoka
  2. M

    Ikulu imerudi Dar, kuhamia Dodoma zilikuwa fikra za kijinga

    Muasisi alikuwa yuko sawa kwa wakati ule kwani Dodoma ni katikati ya nchi hivyo mawasiliano ya kiserikali yangekuwa rahisi. Lakini sasa tuko kwenye technologia ya kisasa hivo makao makuu yanaweza kuwa popote tuna email Fax na mengineyo mengi yanayofanana na hivi.
  3. M

    Mbunge Nchambi na wenzake 2 wakiri makosa ya uhujumu uchumi na kulipa faini

    Faini? Kwa kesi ya uhujumu uchumi wa upinzani angefungwa bila faini na jimbo lake lingetangazwa haraka lipo wazi kama muda ungekuwa unaruhusu
  4. M

    Virusi vya Corona: Kituo cha kudhibiti magonjwa cha AU chaitaka Tanzania kutoa takwimu

    Point halafu hawa at wanajipendekeza sana kwetu, kwanza sisi ni matajiri pili tuna uwezo wa kila kitu ooh mara wachangie budget. Mimi nashauri kwa umoja wetu kwanza tujitoe kweye AU, UN, East African Community na kila umoja tubal wenyewe Tanganyika kama Tanganganyika ikibidi hata muungano...
  5. M

    Waziri Ummy: Tanzania ina wagonjwa 13 wa Corona, 12 walitoka nao nje ya nchi na 1 kaupatia nchini (Machi 26, 2020)

    Tunaomba Mbowe aieleze jamii kuwa hugo ugonjwa alimuweka ndani hakuchukua tahadhari yoyote pamoja na kuwa mama wa ugonjwa mi qualified medical doctor wote walimuangalia mpaka Makonda alipojua na kuutangazia ulimwengu eti ndiyo Mbowe akampeleka mtoto wake hospitali. According to Makonda amedai...
  6. M

    Marais wanne tangu 1985 halafu mtu anaongelea udikteta

    Kwenye freedom fighting si vizuri kubadilisha kiongozi mtakwama, Chadema haijawahi kuchukua nchi na pia hata Mandela alikuwa kiongozi kwa miaka mingi lakini walipopewa Ridhaa alitawala kipindi kimoja
  7. M

    Marais wanne tangu 1985 halafu mtu anaongelea udikteta

    Usisahau CUF na CCM tangu 1961 mpaka 1985
  8. M

    Marais wanne tangu 1985 halafu mtu anaongelea udikteta

    Ni wale wale ni kupeperusha bendera ya chama tu karibu miaka 60 sasa tunatawaliwa na taasisi moja kazi yao kubadilisha way wa kupeperusha bendera
  9. M

    Wakili msomi Kaneirugaba Msemakweli aliishia wapi na kesi ya wenye PhD feki?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwenzie ni vilaza, na mara nyingi vilaza ni rahisi kuwatambua vilaza wenzao
  10. M

    Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] amloge tena?
Back
Top Bottom