Vijana BAVICHA mjifunze kupitia kwa vijana wenzenu akina Nape Nnauye, akina Masauni Yusuf Masauni sio dhambi , hao nao walipita kwenye misukosuko ya kisiasa kwenye chama chao lakini hawakutumia muda mwingi kuleta mgawanyiko , zaidi walijitathmini wenyewe na leo bado wana heshima ktk Siasa ndani...
Muwe makini mna uhakika gani zidi ya Tuhuma kwa ZZK Kwenye siasa hakuna Rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu acheni Demokrasia ichukue mkondo wake. Mtu asipokubaliana na Mtazamo wako nongwa msaliti, kikubwa je amevunja katiba ya CDM ndio ahukumiwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.